Play Station.
Daaah umenikumbusha mbali sana,
PS 1, Nintendo 64, Game Boy, Sega Genesis....
Game Boy unaondoka na betri kumkomoa mtu.
Wakati ule ilikuwa inauzwa 1500.
Game boy 1500 mkuu? Au ulimaanisha brick game
All of the above....Game boy 1500 mkuu? Au ulimaanisha brick game
mkuu hao sio mchanganyiko hapo, nime Zoom lakini wapi sijaona kitu
hiyo kigae hasaa kama unatetemeka huchezi hiyoo au nimekosea
Upo sawa sana mkuu.....hiyo kigae hasaa kama unatetemeka huchezi hiyoo au nimekosea
Hahahaaa........mkuu hao sio mchanganyiko hapo, nime Zoom lakini wapi sijaona kitu
Tena sisi tulikua tunaweka mchanga kdgo kwenye mpira ssa hapo ukimbabua mtu tu anaanza kulianahsi ukiwa unazinga huwa unababua watuu hadi wanajuta
Kwa avatar yako nimekukana hadharani babaYule Doto wako ndio mimi.....[emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo sawa sana mkuu.....
Enzi hizo ilikua tukiwazoza wadada wanaenda kutusemea kwa wazazi wao (eti musa ameniambia tufanye matusi).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shikamoo kaka.Eeeh bwana eeeh!!!!
Hivi nilikuwa Youtube naingalia hapa.
Uko Poa ww Mbona umenikimbia eeehMe nilipenda kucheza komborela yan tulikua tunagegedana huko Sema namkumbuka sana mme wangu wa utoton doto [emoji23][emoji23]
Badiri picha dogo humu sio fb naona unatafuta pa kupost pichaOK ninoma San mm mmenikub xhabali xan daaaa
All of the above....
Sinto waita (Mkuu) tena, maana ninyi nyote niwa siku za .com[emoji16] [emoji16]
Shikamoo kaka.
Nko Poa mkuuUko Poa ww Mbona umenikimbia eeeh
Kuya kwa pm tutete kidogoNko Poa mkuu