Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

kwa kifupi ni kwamba kama wakati unaweka hela yako bei ya kipande ilikua ni 313.3518,kesho yake wakatangaza bei ya kipande ikawa ni 320.3628 so itakua imeongezeka kwa 320.3628-313.3518=7.011 so chukua 7.011 zidisha na vipande vyako zidisha tena na hela uliyo weka
 
Nimeo
mnaposema vipande hasa hua mna maanisha nini? na je riba hua ina kokotolewa kwa kila kipande au kwa jumla ya vipande?
Nimeona kama kwenye post inayofuta hii umekwisha jibu mwenyewe. Asante kwa kusaidia ufafanuzi.
 
Sure mkuu, hata serikali huwa inaweza kufa hata ukijenga nyumba inaweza kufa sema risk inakuwa very low
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…