GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Fafanua hiyo vizuri kuonyesha ni jinsi gani serikali inaweza kupambania maisha magumu ya watu. Contract ya serikali na raia ni kwamba, raia watalipa kodi, halafu serikali itajenga miundo mbinu yote ambayo haiwezi kujengwa na watu binafsi ili kusurdi raia waitumie miundombinu hiyo kujipatia vipato vya kuendesha maisha yao.Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
Mfundisheni apunguze uropokaji.Lissu ndio mpango mzima
Swissme
Hapo ni nchi ya tanzania sio kwetu huku kwa Lazarus chakweraKwa mara ya kwanza, Shule zimefunguliwa nchi nzima kasoro Mwanza, kisa tu kuna mtu anazindua 'kampeni', wakati hadi siku ya mazishi ya Bw Mkapa, walienda shule.
Nisamehe mkuu, maana ni nje ya mada.
Watu wenye akili wanatumia akili zao saa 24 kuwaza kukuza uchumi ili ulete maendeleo ya watu ndipo yachochee maendeleo ya vitu!Mi nashangaa nyie Chadema tu ndo mnaona JPM siyo visionary leader. acheni kupotosha watu. Nchi bila miundo mbinu utafanyaje?? Ina maana hamjui maana ya trickle down effect of economy?? It doesn't come overnight. JPM could put down the blue print and economic design and future leaders would implement huko baadae...
Unapotosha au mahaba yamezidi,Kwan huwezi jenga miundombinu na Maisha ya watu yakaendelea kama kawaida, ni sawa na mtu analaza tatoto wake njaa,wanavaa malapulapu,wanaacha shule kisa unataka kununua gari na kujenga nyumba mazee hutaelewekaMi nashangaa nyie Chadema tu ndo mnaona JPM siyo visionary leader. acheni kupotosha watu. Nchi bila miundo mbinu utafanyaje?? Ina maana hamjui maana ya trickle down effect of economy?...
Maendeleo ya watu yanatanguliwa na maendeleo ya vitu.Watu wenye akili wanatumia akili zao saa 24 kuwaza kukuza uchumi ili ulete maendeleo ya watu ndipo yachochee maendeleo ya vitu!
Na ukiwaendekeza sana watoto watakuwa hawajishughulishi na wanasubiria tu mali ya urithiUnapotosha au mahaba yamezidi,Kwan huwezi jenga miundombinu na Maisha ya watu yakaendelea kama kawaida, ni sawa na mtu analaza tatoto wake njaa,wanavaa malapulapu,wanaacha shule kisa unataka kununua gari na kujenga nyumba mazee hutaeleweka
Visionary leader hawezi kurundika White elephants kwenye nchi kwa muda mfupi wa miaka 5.Mi nashangaa nyie Chadema tu ndo mnaona JPM siyo visionary leader. acheni kupotosha watu. Nchi bila miundo mbinu utafanyaje?? Ina maana hamjui maana ya trickle down effect of economy?...
Visionary leader hawezi kurundika White elephants kwenye nchi kwa muda mfupi wa miaka 5.
Maendeleo ya watu yanatanguliwa na maendeleo ya vitu.
Cheap mind would like that way