Uchaguzi 2020 Je, ni Mgombea Urais gani kati ya hawa anahitajika sana kwa sasa na Wananchi wa nchi ya Malawi ya Kaskazini?

Uchaguzi 2020 Je, ni Mgombea Urais gani kati ya hawa anahitajika sana kwa sasa na Wananchi wa nchi ya Malawi ya Kaskazini?

JP doing the best the problem is our weak constitution to lead and guide him. He works in line with old economist Adam Smith who defined economy as wealth of the nation,( To be rich and strong) regardless how you acquire or make it.

While ATL goes to wealth of the nation and human behaviour. Human warfares and morals behind wealth acquisition. Refer to classical economist Marshal and others.

The second is better off to modern world. Despite dog owner feeds and take care he/she respect the dog.

Ninawachukia kweli nyie 'Mijitu' mnaojifanya hamjui Lugha yetu ya Kiswahili na mnataka Kuonyesha Usomi wenu kwa Kutumia Lugha ya Kiingereza.
 
mimi nikiwa kamqa mwananchi wa malawi ya kaskazini ninahitaji raisi mwenye sera hizi

2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
3. Mgombea ambaye Sera zake ni Kushirikisha sana Wataalam katika Maeneo husika, Maendeleo na Utu wa Kisiasa na Amani?
 
Huyu Magufuli anataka kuturudisha zama za Karundika maisha ya kuzamia meli wakati wa utawala wa Nyerere,vijana waliatarisha maisha yao kwa kuzamia meli kwenda Ulaya kukimbia maisha magumu yaliyosababisshwa na utawala wa Nyerere. Mzee Mwinyi alishatutoa huko,baada ya miaka 35 anakuja Magufuli anataka kuturudisha huko halafu wapambe wake wanampigia makofi eti anajenga infrastructure, mavi ya kuku kabisa hawa.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana. Nimekuelewa sana!
 
Fafanua hiyo vizuri kuonyesha ni jinsi gani serikali inaweza kupambania maisha magumu ya watu. Contract ya serikali na raia ni kwamba, raia watalipa kodi, halafu serikali itajenga miundo mbinu yote ambayo haiwezi kujengwa na watu binafsi ili kusurdi raia waitumie miundombinu hiyo kujipatia vipato vya kuendesha maisha yao.

Je, una maana kuwa serikali iwe inagawa hela kwa wanachi ili kurahisisha maisha yao au vipi? Uwepo wa hela za mkatomkato mitaani ni kati ya mambo yaliyoiruidisha nyuma sana nchi yetu na kusababisha upungufu wa ubunifu.

Unazungumziaje mgombea mmoja ambaye akipewa serikali hatapeleka maendeleo sehemu ambayo hakupata kura za kutosha?
 
Je,....

1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7?
2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
3. Mgombea ambaye Sera zake ni Kushirikisha sana Wataalam katika Maeneo husika, Maendeleo na Utu wa Kisiasa na Amani?

GENTAMYCINE nikiwa kama Raia wa hapa nchini Malawi ya Kaskazini nina uhakika Majibu yenu ya hapa yatatupa Mshindi halali wa Uchaguzi huo.

Namba 2 na 3 wanafaa kupewa nchi.
 
Mi nashangaa nyie Chadema tu ndo mnaona JPM siyo visionary leader. acheni kupotosha watu. Nchi bila miundo mbinu utafanyaje?? Ina maana hamjui maana ya trickle down effect of economy?? It doesn't come overnight. JPM could put down the blue print and economic design and future leaders would implement huko baadae.

Nchi ipo sisi ndio tunapita so kunaweza kusiwe na quick effect kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja ndani ya miaka hii kumi lakini infrastructures will be there for over 100 years so acheni kudanganya watanzania kwamba hii miundo mbinu haina maana.

Acheni ubinafsi wakujiwaza nyie kwamba ndani ta miaka huu kumi maisha yameenda kombo basi na labda una miaka 50 so you are concluding JPM hafai. Ukiona matunda wanayokula USA leo ni maono waliyokuwa nayo viongozi wao wa miaka karibia 250 iliyopita.

Ili tujue wote tunataka kufaidika huko mbeleni, mwambie alipwe mshahara wa 1m, ili tuishi wote sawa kisha hayo maendeleo yakija tufaidike wote, au wafaidike hao watoto wetu. Sio yeye na watoto wake wafaidi sasa na baadae, ila sisi tungoje kufaidika baadae. Hatuendekezi ujinga huo.
 
Na ukiwaendekeza sana watoto watakuwa hawajishughulishi na wanasubiria tu mali ya urithi

Viongozi na familia zao wanaishi vizuri, na wote wana ajira serikalini, ila sisi wanatuita wanyonge huku tukiwa hatuna ajira, na watoto wetu hawasomi shule moja na watoto wa viongozi. Inakuwaje tunachorona ili kufikia utashi wa kiongozi wa kuumia pekee yetu?
 
Je,....

1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7?
2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
3. Mgombea ambaye Sera zake ni Kushirikisha sana Wataalam katika Maeneo husika, Maendeleo na Utu wa Kisiasa na Amani?

GENTAMYCINE nikiwa kama Raia wa hapa nchini Malawi ya Kaskazini nina uhakika Majibu yenu ya hapa yatatupa Mshindi halali wa Uchaguzi huo.
lissu ndiye anafaa urais kwa sasa , wengine ni ugoro tu
 
Mfundisheni apunguze uropokaji.
Fafanua hiyo vizuri kuonyesha ni jinsi gani serikali inaweza kupambania maisha magumu ya watu. Contract ya serikali na raia ni kwamba, raia watalipa kodi, halafu serikali itajenga miundo mbinu yote ambayo haiwezi kujengwa na watu binafsi ili kusurdi raia waitumie miundombinu hiyo kujipatia vipato vya kuendesha maisha yao.

Je, una maana kuwa serikali iwe inagawa hela kwa wanachi ili kurahisisha maisha yao au vipi? Uwepo wa hela za mkatomkato mitaani ni kati ya mambo yaliyoiruidisha nyuma sana nchi yetu na kusababisha upungufu wa ubunifu.
Vipi yule bwana wa lugha gongana, anaabagua watu kwa vyama halafu kesho yake anakataza ubaguzi
 
Back
Top Bottom