Kilaza wewe nani anataka kupelekewa ugali? Kazi ya kiongozi ni kuandaa mazingira yatakayo rahisisha maisha ya raia wake. Unaua private sector kwa maono ya kipumbavu ya kijima ambayo Mwalimu Nyerere alishindwa kwa kisingizio cha Infrastructure. Kikwete alijenga network ya barabara nchi mzima,kujenga UDOM,kaitanua Muhimbili na kupeleka madaktari kwenda kusoma specialization and super specialization, gas na infrastructure zake mpaka Dar,shule za kata nchi mzima,alijiari from certificate to graduate wote wa sekta ya elimu na afya. Alifanya mengi na bado wananchi tulifurahia maisha. JPM alitakuwa kuja kurudisha nidhamu kwenye utumishi was umma sehemu ambayo ilikuwa na udhaifu mkubwa kwenye utawala wa JK. Sasa huyu Magufuli kaja kuharibu private sector na kuvuruga maisha ya watu,kubkmoa democracy na haki za binadamu.
Tunaishi leo huku tukiiandaa kesho yetu,tutoleeni ujima wenu hapa hatutaki kuwa kama Ethiopia vijana wao wanakufa kwenye malori wakikimbia maendeleo ya nchi yao.