BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Maendeleo ya watu yanatanguliwa na maendeleo ya vitu.
Watu wenye akili wanatumia akili zao saa 24 kuwaza kukuza uchumi ili ulete maendeleo ya watu ndipo yachochee maendeleo ya vitu!
Tatizo ni mfumo wa kiimla walio jiwekea wa kukandamiza vyama pinzani. Doing the best sio problem issue una do vipi kwa kukandamiza democracy.JP doing the best the problem is our weak constitution to lead and guide him. He works in line with old economist Adam Smith who defined economy as wealth of the nation,( To be rich and strong) regardless how you acquire or make it....
Exactly infrastructures then opportunities. Mimi hawa jamaa sijui wanawazaje mtu kupelekewa ugali nyumbani. Very cheap mind ndo kina Rungwe hawa wanawaza ubwabwa.
Ethiopia wanamiundombinu mizuri, wanamadege yakila aina lkn raia wake wanakamatwa kila siku kwenye malori wakikimbia maendeleo ya nchi yao kisa kwenda kutafuta mkate waishi vizuri. Nafikir unataka watz tuishi kama waithiopia.Exactly infrastructures then opportunities. Mimi hawa jamaa sijui wanawazaje mtu kupelekewa ugali nyumbani. Very cheap mind ndo kina Rungwe hawa wanawaza ubwabwa.
Genta, kwa kifupi Malawi ya Kaskazini ni Yeye tu!! Yule jamaa alieponywa na Mungu risasi 16.Je,....
1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7?
2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
3. Mgombea ambaye Sera zake ni Kushirikisha sana Wataalam katika Maeneo husika, Maendeleo na Utu wa Kisiasa na Amani?
GENTAMYCINE nikiwa kama Raia wa hapa nchini Malawi ya Kaskazini nina uhakika Majibu yenu ya hapa yatatupa Mshindi halali wa Uchaguzi huo.
Kwa dozi hii uliyompa huyu mataga wa Lumumba akirudi tena basi ana moyo mgumu sana πππKilaza wewe nani anataka kupelekewa ugali? Kazi ya kiongozi ni kuandaa mazingira yatakayo rahisisha maisha ya raia wake. Unaua private sector kwa maono ya kipumbavu ya kijima ambayo Mwalimu Nyerere alishindwa kwa kisingizio cha Infrastructure. Kikwete alijenga network ya barabara nchi mzima,kujenga UDOM,kaitanua Muhimbili na kupeleka madaktari kwenda kusoma specialization and super specialization, gas na infrastructure zake mpaka Dar,shule za kata nchi mzima,alijiari from certificate to graduate wote wa sekta ya elimu na afya. Alifanya mengi na bado wananchi tulifurahia maisha. JPM alitakuwa kuja kurudisha nidhamu kwenye utumishi was umma sehemu ambayo ilikuwa na udhaifu mkubwa kwenye utawala wa JK. Sasa huyu Magufuli kaja kuharibu private sector na kuvuruga maisha ya watu,kubkmoa democracy na haki za binadamu.
Tunaishi leo huku tukiiandaa kesho yetu,tutoleeni ujima wenu hapa hatutaki kuwa kama Ethiopia vijana wao wanakufa kwenye malori wakikimbia maendeleo ya nchi yao.
Kuna uwezekano kifo cha Nkapa kina nkono wa mkubwa fulani.Kwa mara ya kwanza, Shule zimefunguliwa nchi nzima kasoro Mwanza, kisa tu kuna mtu anazindua 'kampeni', wakati hadi siku ya mazishi ya Bw Mkapa, walienda shule.
Nisamehe mkuu, maana ni nje ya mada.
Kuna uwezekano kifo cha Nkapa kina nkono wa mkubwa fulani.Kwa mara ya kwanza, Shule zimefunguliwa nchi nzima kasoro Mwanza, kisa tu kuna mtu anazindua 'kampeni', wakati hadi siku ya mazishi ya Bw Mkapa, walienda shule.
Nisamehe mkuu, maana ni nje ya mada.
Na mkimchagua tena, yoyote atakayemkosoa atakuwa anapigwa risasi mchana kweupeeeee.Tunechoka kutishwa 24/7.
Kwa dozi hii uliyompa huyu mataga wa Lumumba akirudi tena basi ana moyo mgumu sana πππ
Msalimie Lazarus Chakwera
Umeshasema wewe mtu wa kitengo mimi raia mnyonge sina cha kupinga.