GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
JP doing the best the problem is our weak constitution to lead and guide him. He works in line with old economist Adam Smith who defined economy as wealth of the nation,( To be rich and strong) regardless how you acquire or make it.
While ATL goes to wealth of the nation and human behaviour. Human warfares and morals behind wealth acquisition. Refer to classical economist Marshal and others.
The second is better off to modern world. Despite dog owner feeds and take care he/she respect the dog.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana. Nimekuelewa sana!Huyu Magufuli anataka kuturudisha zama za Karundika maisha ya kuzamia meli wakati wa utawala wa Nyerere,vijana waliatarisha maisha yao kwa kuzamia meli kwenda Ulaya kukimbia maisha magumu yaliyosababisshwa na utawala wa Nyerere. Mzee Mwinyi alishatutoa huko,baada ya miaka 35 anakuja Magufuli anataka kuturudisha huko halafu wapambe wake wanampigia makofi eti anajenga infrastructure, mavi ya kuku kabisa hawa.
Fafanua hiyo vizuri kuonyesha ni jinsi gani serikali inaweza kupambania maisha magumu ya watu. Contract ya serikali na raia ni kwamba, raia watalipa kodi, halafu serikali itajenga miundo mbinu yote ambayo haiwezi kujengwa na watu binafsi ili kusurdi raia waitumie miundombinu hiyo kujipatia vipato vya kuendesha maisha yao.
Je, una maana kuwa serikali iwe inagawa hela kwa wanachi ili kurahisisha maisha yao au vipi? Uwepo wa hela za mkatomkato mitaani ni kati ya mambo yaliyoiruidisha nyuma sana nchi yetu na kusababisha upungufu wa ubunifu.
Je,....
1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7?
2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
3. Mgombea ambaye Sera zake ni Kushirikisha sana Wataalam katika Maeneo husika, Maendeleo na Utu wa Kisiasa na Amani?
GENTAMYCINE nikiwa kama Raia wa hapa nchini Malawi ya Kaskazini nina uhakika Majibu yenu ya hapa yatatupa Mshindi halali wa Uchaguzi huo.
Hizi akili za kichaaMaendeleo ya watu yanatanguliwa na maendeleo ya vitu.
Mi nashangaa nyie Chadema tu ndo mnaona JPM siyo visionary leader. acheni kupotosha watu. Nchi bila miundo mbinu utafanyaje?? Ina maana hamjui maana ya trickle down effect of economy?? It doesn't come overnight. JPM could put down the blue print and economic design and future leaders would implement huko baadae.
Nchi ipo sisi ndio tunapita so kunaweza kusiwe na quick effect kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja ndani ya miaka hii kumi lakini infrastructures will be there for over 100 years so acheni kudanganya watanzania kwamba hii miundo mbinu haina maana.
Acheni ubinafsi wakujiwaza nyie kwamba ndani ta miaka huu kumi maisha yameenda kombo basi na labda una miaka 50 so you are concluding JPM hafai. Ukiona matunda wanayokula USA leo ni maono waliyokuwa nayo viongozi wao wa miaka karibia 250 iliyopita.
Na ukiwaendekeza sana watoto watakuwa hawajishughulishi na wanasubiria tu mali ya urithi
White elephants ni kama zipi kwa mfano??
Watu wanakufa kila siku kwa njaa na frustrations za maisha magumu wewe unaongelea kuhusu baadaye? Nani atakuwa hai huko?would implement huko baadae.
Unataka nithibitishe then nioge mitusi yako? Najipenda ati!Kabla sijakujibu au sijaibu hii 'Hoja' yako hapa nakuomba haraka sana weka 'Ushahidi' wako hapa ili 'Uthibitishe' kuwa nilisema Mimi ni wa Kitengo.
Cc: SAID KARIMU
True....yaani akipita awamu hii. Tujiandae kuchinjwa mchana kweupe ili na wengine wajifunzeNa mkimchagua tena, yoyote atakayemkosoa atakuwa anapigwa risasi mchana kweupeeeee.
lissu ndiye anafaa urais kwa sasa , wengine ni ugoro tuJe,....
1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7?
2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla?
3. Mgombea ambaye Sera zake ni Kushirikisha sana Wataalam katika Maeneo husika, Maendeleo na Utu wa Kisiasa na Amani?
GENTAMYCINE nikiwa kama Raia wa hapa nchini Malawi ya Kaskazini nina uhakika Majibu yenu ya hapa yatatupa Mshindi halali wa Uchaguzi huo.
Mfundisheni apunguze uropokaji.
Vipi yule bwana wa lugha gongana, anaabagua watu kwa vyama halafu kesho yake anakataza ubaguziFafanua hiyo vizuri kuonyesha ni jinsi gani serikali inaweza kupambania maisha magumu ya watu. Contract ya serikali na raia ni kwamba, raia watalipa kodi, halafu serikali itajenga miundo mbinu yote ambayo haiwezi kujengwa na watu binafsi ili kusurdi raia waitumie miundombinu hiyo kujipatia vipato vya kuendesha maisha yao.
Je, una maana kuwa serikali iwe inagawa hela kwa wanachi ili kurahisisha maisha yao au vipi? Uwepo wa hela za mkatomkato mitaani ni kati ya mambo yaliyoiruidisha nyuma sana nchi yetu na kusababisha upungufu wa ubunifu.