Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Tokea tumezaliwa tuna pita changamoto mbalimbali nyingine ngumu sana mpaka unakosa tumaini la kuvuka , lakini ajabu mpaka leo upo na utaendelea kuwepo haijalishi unapitia gumu kiasi gani.Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.
Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?
Je wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?
Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.
AsantePole mkuu.
Can you tolerate the mistakes of others always thrown at you? can you or is it the stupidity of a smart person to endure difficult things?Dear Mama pretty
Wise man once said, Good instincts are earned by doing mistakes if you're lucky enough to survive few mistakes you will be alright
I don't know what you are going through but one thing i can promise you , better days are coming
It's all gonna be alright 😀
Lakini sa nyingine kisichokuua kinakufanya uwe mdhaifu😪Tokea tumezaliwa tuna pita changamoto mbalimbali nyingine ngumu sana mpaka unakosa tumaini la kuvuka , lakini ajabu mpaka leo upo na utaendelea kuwepo haijalishi unapitia gumu kiasi gani.
Maisha ya mwanadamu au pengine kiumbe yoyote yamejawa na changamoto nyingi sana, kupanda na kushuka ni kwingi sana lakini yote yanastahimilika na kuna kucha na kichwa salama
Kisicho kuua kinakiimarisha.
😊😊😊Lakini basi tu,sitakagi kukumbuka japo ni historia ktk maisha yangu/family,
Mungu ni mwema.
Noo, japo inategemea na mazingira ya kitu chenyewe , lakini juwa akili ya binadamu iko katika mfumo wa kujifunza daima, inajifunza haswa inapopata jambo la kuitatiza hivyo kujifunza namna ya kuyaishi mazingira mapya ambayo yanaendana na hio hali mpya.Lakini sa nyingine kisichokuua kinakufanya uwe mdhaifu[emoji25]
Mama pretty , " sometimes people cry not because they are weak but because they've been strong for so long"Can you tolerate the mistakes of others always thrown at you? can you or is it the stupidity of a smart person to endure difficult things?
Pole kwa unayopitia.Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.
Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?
Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je, Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?
Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.
Sijakata tamaa.. ni mada fikirishi..Usikate tamaa
Usivunjike moyo
Upo sahihi.Noo, japo inategemea na mazingira ya kitu chenyewe , lakini juwa akili ya binadamu iko katika mfumo wa kujifunza daima, inajifunza haswa inapopata jambo la kuitatiza hivyo kujifunza namna ya kuyaishi mazingira mapya ambayo yanaendana na hio hali mpya.
Kama kitu chochote kibaya kitakutokea kika kuacha na uzima basi juwa kitaacha funzo kubwa sana maishani mwako.
Mungu anafanya kazi katika njia za ajabu sana. Habagui. Haijalishi unadhambi kiasi gani...Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.
Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?
Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je, Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?
Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.