Je, ni mkono wa mtu?

Je, ni mkono wa mtu?

Mama pretty

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2020
Posts
2,082
Reaction score
4,103
Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.

Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?

Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je, Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?

Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.
 
Je wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?

Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.
Tokea tumezaliwa tuna pita changamoto mbalimbali nyingine ngumu sana mpaka unakosa tumaini la kuvuka , lakini ajabu mpaka leo upo na utaendelea kuwepo haijalishi unapitia gumu kiasi gani.

Maisha ya mwanadamu au pengine kiumbe yoyote yamejawa na changamoto nyingi sana, kupanda na kushuka ni kwingi sana lakini yote yanastahimilika na kuna kucha na kichwa salama

Kisicho kuua kinakiimarisha.
 
Dear Mama pretty
Wise man once said, Good instincts are earned by doing mistakes if you're lucky enough to survive few mistakes you will be alright

I don't know what you are going through but one thing i can promise you , better days are coming

It's all gonna be alright 😀
Can you tolerate the mistakes of others always thrown at you? can you or is it the stupidity of a smart person to endure difficult things?
 
Tokea tumezaliwa tuna pita changamoto mbalimbali nyingine ngumu sana mpaka unakosa tumaini la kuvuka , lakini ajabu mpaka leo upo na utaendelea kuwepo haijalishi unapitia gumu kiasi gani.
Maisha ya mwanadamu au pengine kiumbe yoyote yamejawa na changamoto nyingi sana, kupanda na kushuka ni kwingi sana lakini yote yanastahimilika na kuna kucha na kichwa salama

Kisicho kuua kinakiimarisha.
Lakini sa nyingine kisichokuua kinakufanya uwe mdhaifu😪
 
Lakini sa nyingine kisichokuua kinakufanya uwe mdhaifu[emoji25]
Noo, japo inategemea na mazingira ya kitu chenyewe , lakini juwa akili ya binadamu iko katika mfumo wa kujifunza daima, inajifunza haswa inapopata jambo la kuitatiza hivyo kujifunza namna ya kuyaishi mazingira mapya ambayo yanaendana na hio hali mpya.

Kama kitu chochote kibaya kitakutokea kika kuacha na uzima basi juwa kitaacha funzo kubwa sana maishani mwako.
 
Can you tolerate the mistakes of others always thrown at you? can you or is it the stupidity of a smart person to endure difficult things?
Mama pretty , " sometimes people cry not because they are weak but because they've been strong for so long"

There is a limit to everything, it takes a gut to let go of something but if you find a courage to do it , that is when you will feel your soul lighter like a piece of paper.

As long as it worth it mam' then it's not stupidity for a smart person to endure things,

The only question is
What you are enduring does it worth it? Does it have future benefits? Does it makes you a good person? Does it makes you feel special? Does it build ur personality

If not find a courage to let it go no matter how long it takes,
You are beautifully renovated in so many ways , you are so very special and let no body tell you , that u are not
 
Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.

Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?

Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je, Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?

Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.
Pole kwa unayopitia.

Mimi sina dini lkn kwenye biblia kuna story ya Ayubu nadhan ukiisoma utaelewa kwamba hicho unachokiongelea hakina formula. Kufanya mazuri sio guarantee ya kutopatwa na mabaya.

Mabaya tumeumbiwa lkn kufanya mazuri ni wajibu wetu. Mtu hapewi bonus kwa kutimiza wajibu wake
 
Itakuwa vigumu sana watu kukuelewa kama hawajapitia hali kama hii.

Pole sana;na usikate tamaa, keep on trying, pia jaribu kujifanya kuwa kila kitu Kiko sawa utaona mabadiliko.

Shukuru kwa Kila jambo and make sure you put a smile on your face everyday; hakika utahisi faraja.
 
Pole

Maisha hayatoshelezi na ni matupu Sana!

Hayaleti msisimko na hata ukiutafuta HUO msisimko unapata HATARI nyingine kubwa zaid ya mwanzo!!
HIVYO tu!
 
Noo, japo inategemea na mazingira ya kitu chenyewe , lakini juwa akili ya binadamu iko katika mfumo wa kujifunza daima, inajifunza haswa inapopata jambo la kuitatiza hivyo kujifunza namna ya kuyaishi mazingira mapya ambayo yanaendana na hio hali mpya.

Kama kitu chochote kibaya kitakutokea kika kuacha na uzima basi juwa kitaacha funzo kubwa sana maishani mwako.
Upo sahihi.
 
Hakuna tatizo jipya duniani yote yalikuwepo ni mapito tu.
 
Matatizo utufunza, matatizo ni hatua ya kujifunza. Thus kuishi kwingi ni kuona mengi,
 
Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.

Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?

Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je, Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?

Ni mada fikirishi kutokana na tunayopitia maishani.
Mungu anafanya kazi katika njia za ajabu sana. Habagui. Haijalishi unadhambi kiasi gani...

Kwenye kila changamoto kuna suluhisho.. FIKIRI utalipata.
 
Back
Top Bottom