herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Eeh unanidogosha aisee, huko nishapita zamani teh
Heaven wewe ni oldskul,.maana hata ambayo huwa unayaandika humu yamekula chumvi.Eeh unanidogosha aisee, huko nishapita zamani teh
Hahaa nashukuru mkuuHeaven wewe ni oldskul,.maana hata ambayo huwa unayaandika humu yamekula chumvi.
dah,kweli huyu jamaa...ukifatilia kupotea kwa hawa jamaa ndipo utaanza kuzijua dosari za profesa jay
dah,kweli huyu jamaa...ukifatilia kupotea kwa hawa jamaa ndipo utaanza kuzijua dosari za profesa jay
Anaitwa V2 wimbo nasonga mbele
Sijui hata yupo wapi now na anafanyajeAhsante kwa kunikumbusha maana dah. ...sijui nisemeje , nilikuwa na mahaba sana na huyu dada na wimbo wake. Hivi yupo kweli?
Nimeucheki Youtube. Umenikumbusha jambo fulan dah.