Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utetezi wako hauna maana ni wa kupuuzwaUko sahihi kiasi chake,labda unafahamu historia ya hard blasters? Awali hakuepo jay,alikuepo teacher kaka yake Jay..the crew haikukick kivile but was like a family..baada ya tiacher kwenda ughaibuni..jay akajoin crew..nakweli crew ikang'aa na akang'aa yeye kwa kiasi kikubwa..akawasahau wenzake na kuinitiate sole based projects..HBC ikafa taratibu,dispointment na stress za maisha kama ilivyokuwa kwa wengu mziki usipo walipa akaingia kwenye wingu la kutumia madawa...baadae Mr. 2,sugu akamuokota nakuanza kumuhudumia na kumpeleka rehab...watumiaji wa madawa ya kulevya si watu wakutengwa ni watu wakukaa nao pamoja nakujaribu kuwarudisha kwenye mstari,mwisho wasiku wanatugusa sisi sote.
Uko sahihi kiasi chake,labda unafahamu historia ya hard blasters? Awali hakuepo jay,alikuepo teacher kaka yake Jay..the crew haikukick kivile but was like a family..baada ya tiacher kwenda ughaibuni..jay akajoin crew..nakweli crew ikang'aa na akang'aa yeye kwa kiasi kikubwa..akawasahau wenzake na kuinitiate sole based projects..HBC ikafa taratibu,dispointment na stress za maisha kama ilivyokuwa kwa wengu mziki usipo walipa akaingia kwenye wingu la kutumia madawa...baadae Mr. 2,sugu akamuokota nakuanza kumuhudumia na kumpeleka rehab...watumiaji wa madawa ya kulevya si watu wakutengwa ni watu wakukaa nao pamoja nakujaribu kuwarudisha kwenye mstari,mwisho wasiku wanatugusa sisi sote.
Ahsante kwa kunikumbusha maana dah. ...sijui nisemeje , nilikuwa na mahaba sana na huyu dada na wimbo wake. Hivi yupo kweli?
Nimeucheki Youtube. Umenikumbusha jambo fulan dah.
Mi wasanii ninaowataka warudi ni
Voice Wonder
Kali P
Suma G
Solid Ground Family
Suma Lee
Noorah
Je wewe unawamiss kina nani?
We endelea tu kushabikia wakina Diamond maana wa zamani huwajui, unachekesha
Planet 2000
yule aliyeimba sheila sijui anaitwa esther wasira
juma nature
squeezer
mandojo na domo kaya
mike T.. napenda sana ngoma ya nyalu land aliyo mshirikisha jay dee
fagio la chuma
solo thang japo alipotoa mr tanzania alikuwa karudi vizuri then kimya
makamua
banana zorro
maunda zorro
k-sal.. nakumbuka kibao cha mwana mkiwa
bwana misosi
stara thomas
ferouz
daz baba
kali p
kuna dogo flani wa iringa anaitwa yakee aliimba ngoma inaitwa tonight enzi za producer ambha kuhamia dar akapotea
pauline zongo
q jay
mb doggy