Je, Ni msanii gani wa Bongofleva aliyepotea katika muziki unatamani arudi katika muziki?

Je, Ni msanii gani wa Bongofleva aliyepotea katika muziki unatamani arudi katika muziki?

Juma Nature
Rah P
Solo Thang
Mike Tee
Mb Dog
Sister P
 
Jiti...huyu jamaa aliimbaga wimbo flani ivi na waziri sonyo,unaitwa 'ndoto tata'
 
jamani Jf nimeona wengine mna akili sana huu wimbo wa dada V2 Dah nilikuwa nateseka sana kujua nani kaimba...nilivoona hapa nimekimbilia kuwasha laptop yangu mara moja youtube.com kuuchek naona upo....Mungu awabariki sana sana
 
Zaman nyimbo za dedication kwa mademu kibao, siku hiz balaa
 
Daaaa nmemkumba saganda alieimba kichaga "maarufu kama Rafael""
Na kundi la k.u crew a.k.a kwanza unit.
 
kuna yule dogo SISA MADINI alikuja na kupotea,sijui yuko wapi sasa hivi
 
ab skills, na yule alieimba " Aquelinaa weeee tulimalize tatizoo ololololooo aqueluna mpenzi nakupenda" bila kumsahau JEBY na Anna Peter
 
Back
Top Bottom