Kila navyoimba hizo chorus inanijia sauti ya lady jay dee... maybe
Dah kuna dada aliimbaga " nawaachia hao wenzangu, wajaribu kuishi na wewe na sikiwa kifaranga cha kuku mbele yako wewe bwana mwewe" aisee video yake ilivuma enzi za 2001/2002 sijui anaitwa nani? Alikuwa na rasta hv .
Crazy GK
Ferooz
Mr Paul
Solo thang
Mabaga fresh
Suma G mzee wa uswahilini
Mark D mzee wa vina mfuatano(mja wako).
Mkuu Imebidi hadi nitafute huo wimbo. Hiyo chorus ya kwanza ni ya jide kweli. Nyimbo inaitwa waweza kwenda. Sijui tu jinsi ya kuattach nyimbo hapo, Tafuta Google uoneNo jay dee hapana kabisaaaa
Nina album ya zaman ya jaydee hakuna nyimbo kama hizo
Hizo nyimbo mbili zina melody flan nzuri sana basi tu kujua walioziimba...
Mkuu Imebidi hadi nitafute huo wimbo. Hiyo chorus ya kwanza ni ya jide kweli. Nyimbo inaitwa waweza kwenda. Sijui tu jinsi ya kuattach nyimbo hapo, Tafuta Google uone
Hahahaha Ahsante kwa zawadi lolMkuu shukrani upo vizuri kwenye seaching
Nlkua naleta blablabla kumbe kweli jide
Ngoja nikaicheki halafu nichekie na huo wa pili naandaa na zawadi yako hapaππ
Hahahaha Ahsante kwa zawadi lol
Sio fina mango mkuu, anaitwa V2. Fina mango wimbo wake naoukumbuka ni shogaYule mdada anaitwa fina mango kitu nasonga mbele nimekumbuka mbali sana mkuu
Yule mdada anaitwa fina mango kitu nasonga mbele nimekumbuka mbali sana mkuu