Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kuna dada aliimbaga " nawaachia hao wenzangu, wajaribu kuishi na wewe na sikiwa kifaranga cha kuku mbele yako wewe bwana mwewe" aisee video yake ilivuma enzi za 2001/2002 sijui anaitwa nani? Alikuwa na rasta hv.
Alikiba
upo vizuri ,hii nyimbo huwa naiimba bt nilikuwa sijui jina la mwimbaji ni naniAnaitwa V2 wimbo nasonga mbele
Terry Fanani
Anaitwa V2 wimbo nasonga mbele
Eeh wapendwa enzi za usichana wangu hizo, ndo maana nakumbuka kidogoupo vizuri ,hii nyimbo huwa naiimba bt nilikuwa sijui jina la mwimbaji ni nani
Uko vizuri
Eeh wapendwa enzi za usichana wangu hizo, ndo maana nakumbuka kidogo
Aah sasa hivi nishazeeka banaha ha ha..sasa usichana ushapa mgongo!
Aah sasa hivi nishazeeka bana
Eeh unanidogosha aisee, huko nishapita zamani tehDaah...mzee wa kizazi kipya! Ila nahis we ni mzee wa miaka 25-34 hivi