Je,ni mtandao gani wa wa kijamii wazawa huko Rwanda ambao tunaweza kuuita JF ya Rwanda

Niambie JF Ina feature Gani ambayo yenyewe haina?
mkuu nilichotaka kumaanisha kwenye huu uzi ni mtandao wa kijamii wa unaomilikiwa na mnyarwanda kwenye nguvu kama JF ya Melo
 
Mkuu, yote kwa yote ni mambo meng yameshaandaliwa, hata wanatengeneza softwares na systems unakuta kuna codes wanachukua huko open source ili kurahisisha mambo.
Sidhani kama maxence Mello anayo hata code/script yoyote ya hii JF
Inshort hiyo program ya kutengenezea forum wanayoitumia ndo inamaliza Kila kitu mpaka kumanage data Za users
 
Niambie JF Ina feature Gani ambayo yenyewe haina?
Kula Tunda Kimasihara,J.f Usiku wa Manane,J.f Snap chat. Usiniulize features nioneshe magreat thinkers kama hao Muongeze na yule bro.wetu Mshana J.r Ukiandika vitu kama hivyo huko Huo mtandao utakuwa umefikia Tamati Kwanza Huo mtandao wote mnajuana kama Whatsapp.
 
Sidhani kama maxence Mello anayo hata code/script yoyote ya hii JF
Inshort hiyo program ya kutengenezea forum wanayoitumia ndo inamaliza Kila kitu mpaka kumanage data Za users
Umetumwa+
 
mkuu nilichotaka kumaanisha kwenye huu uzi ni mtandao wa kijamii wa unaomilikiwa na mnyarwanda kwenye

mkuu nilichotaka kumaanisha kwenye huu uzi ni mtandao wa kijamii wa unaomilikiwa na mnyarwanda kwenye nguvu kama JF ya Melo
Hawana shida hiyo wao Wana twitter Na facebook..Hii JF ya maxence hata Dogo wa chuo pale Kigali anaunda ila ya Nini?
 
Sidhani kama maxence Mello anayo hata code/script yoyote ya hii JF
Inshort hiyo program ya kutengenezea forum wanayoitumia ndo inamaliza Kila kitu mpaka kumanage data Za users
Kuna mambo ya security patches na mengine wanafanya wao. Usipofanya basi itakuwa hacked kila mara maana ni rahisi hackers kujua kila kitu maana si inanunuliwa tu. So some things have to be changed
 
Kula Tunda Kimasihara,J.f Usiku wa Manane,J.f Snap chat. Usiniulize features nioneshe magreat thinkers kama hao Muongeze na yule bro.wetu Mshana J.r Ukiandika vitu kama hivyo huko Huo mtandao utakuwa umefikia Tamati Kwanza Huo mtandao wote mnajuana kama Whatsapp.
Dah we jamaa bwana
Kwahyo ukiambiwa features Za JF ndio Hizo ulizotaja?
 
Sawa lakini sio level ya kusema wameitengeneza hii JF.
Sema tuishie hapo...sitaki kusound kama hater
Maisha yako simplified. Ukitaka kujua kuwa wanafanya kazi na sio kazi rahisi, we jiulize ni mara ngapi jf inataka kuwa hacked au inaondoka hewani wanapambana kuirudisha?
Kuna vichwa nyuma ya kuhakikisha security za hiki kitu. Kama app ya kimbea kama ya mange imekuwa hacked twice ndani ya muda mfupi hadi data kufutwa, je jf inayomwaga mambo mengine sensitive?
Kununua software jambo moja, kutengeneza misingi na kuicustomize iwe konki si kazi ndogo.
 
ila ile app ya mange imetengenezwa na watoto wa chekechea
 
Sijawahi hata kuidownload wala kuifungua hata kumkuta mtu anayo.
Sema kama data anazotoa ni kweli kwamba ina 2ml downloads, basi anapiga ela maana kwa buku buku hizo bilion 2 za kibongo.
 
Back
Top Bottom