Je,ni mtandao gani wa wa kijamii wazawa huko Rwanda ambao tunaweza kuuita JF ya Rwanda

Sijawahi hata kuidownload wala kuifungua hata kumkuta mtu anayo.
Sema kama data anazotoa ni kweli kwamba ina 2ml downloads, basi anapiga ela maana kwa buku buku hizo bilion 2 za kibongo.
kule play store imepakuliwa mara laki 1
 
Hapo mdau unatafuta njia ya kupiga mbususu ya kinyarwanda kimasihara..
Nenda kule rwanda na spika uweke barabarani uwashe mic uanze kuwauliza kama wana JF ya huko.
 
Ni kweli kule ukizungumzia vibaya utawala wa pk ujue jela inakuita

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…