Je, ni muda muafaka sasa kiongozi wa kanisa Katoliki kutokea Afrika?

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
937
Reaction score
2,595
Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko.

Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo?

Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
 
Basi itakuwa ni ukichaa kuchagua mtu kwa sababu tu ya rangi yake haijawahi kuwa nafasi hio.

🤔
Kama ni hivyo basi ma padri wa Afrika uwezo mdogo, swali je nini kifanyike na wao wawe na uwezo wa kuongoza kama wenzao?
 
Kama Obama iliwezekana.
Hata Afrika ni sawa.
Kwanza nasikia ukatoliki umeporomoka sana.

Padre aliyenibatiza mimi ni paroko huko marekani....na alienda majuzi tu.

huko vyeo makanisani ni burebure...bwerere
 
Kama obama sisi waafrika tunamuita muafrika

Je wazungu watakosea kumuita mzungu

Maana baba ni mjaluo , mama ni mzungu.
 
Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko.

Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo?

Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
Papacy siyo nafasi ya kisiasa
 
Yupo kardinali Arinze raia wa nigeria aliwahi kuukosa Upapa huko nyuma wakati anaibuka papa benedict wa XVI raia wa ujerumani, huyu aliyetwaliwa ni raia wa argentina
 
Tatizo ni origin ya hizo dini na umuhimu wa Papa kidunia. Kuipa ngozi jueusi huu ukubwa Ni ngumu Sana .
 
Akina kitima ni zamu yao sasa
muachage mzaha, kitima ni padri hajafikia daraja la uaskofu na apande hadi ukadinali kisha awe na hadhi ya kuingizwa kwenye hatua ya kuchaguliwa kuwa papa
 
Kwani bongo kuna makadinali wangapi?
 
Yupo kardinali Arinze raia wa nigeria aliwahi kuukosa Upapa huko nyuma wakati anaibuka papa benedict wa XVI raia wa ujerumani, huyu aliyetwaliwa ni raia wa argentina
huko vatican weusi akina arinze wapo wanaweza kuchaguliwa kuwa papa
 
Tatizo viongozi wa afrika wengi ni ma hayawani.mfano hapa Tz baadhi Yao Huwa hawakemei maovu yanayofanywa na hii awamu ya nne
 
Kamweeee haiwez tokea wale watu ni selfish mnoo
zamani papa alikuwa ni muitalia tu ndio akaja karol wojtyla a.k.a papa john paul wa II, raia wa poland, akafuata joseph ratsinger a.k.a papa benedict wa XVI, akaja mario boglion a.k.a papa francis, raia wa argentina. Check majina yao halisi kama herufi ni sahihi ila sijakosea sana
 
Dah aisee ukadinali kazi sana mpka uje kuupata shuhuli
zipo nchi zina makardinali wawili kama italia kuna majimbo makubwa kama sikosei wakatoliki kindakindaki watasema ukweli pasina shaka
 
Wew unaota kweli umepewa lift unataka ukae seat ya mbele? Akati mwenye gari ana watoto

Wew dini uliletewa kaa kwa kutulia Vatican yenyewe iko kwao

Wew ukaongoze watu wenye Imani yao? Akati wew ndio wamekuaminisha
 
Back
Top Bottom