Akina kitima ni zamu yao sasaKama Obama iliwezekana.
Hata Afrika ni sawa.
Kwanza nasikia ukatoliki umeporomoka sana.
Padre aliyenibatiza mimi ni paroko huko marekani....na alienda majuzi tu.
huko vyeo makanisani ni burebure...bwerere
Kama obama sisi waafrika tunamuita muafrikaKama Obama iliwezekana.
Hata Afrika ni sawa.
Kwanza nasikia ukatoliki umeporomoka sana.
Padre aliyenibatiza mimi ni paroko huko marekani....na alienda majuzi tu.
huko vyeo makanisani ni burebure...bwerere
Papacy siyo nafasi ya kisiasaTangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko.
Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo?
Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
Tatizo ni origin ya hizo dini na umuhimu wa Papa kidunia. Kuipa ngozi jueusi huu ukubwa Ni ngumu Sana .Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko.
Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo?
Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
muachage mzaha, kitima ni padri hajafikia daraja la uaskofu na apande hadi ukadinali kisha awe na hadhi ya kuingizwa kwenye hatua ya kuchaguliwa kuwa papaAkina kitima ni zamu yao sasa
huko vatican weusi akina arinze wapo wanaweza kuchaguliwa kuwa papaYupo kardinali Arinze raia wa nigeria aliwahi kuukosa Upapa huko nyuma wakati anaibuka papa benedict wa XVI raia wa ujerumani, huyu aliyetwaliwa ni raia wa argentina
mmoja tu, yule askofu wa jimbo kuu la tabora, kardinali Rugambwa, Kardinali Pengo alishastaafuKwani bongo kuna makadinali wangapi?
zamani papa alikuwa ni muitalia tu ndio akaja karol wojtyla a.k.a papa john paul wa II, raia wa poland, akafuata joseph ratsinger a.k.a papa benedict wa XVI, akaja mario boglion a.k.a papa francis, raia wa argentina. Check majina yao halisi kama herufi ni sahihi ila sijakosea sanaKamweeee haiwez tokea wale watu ni selfish mnoo
zipo nchi zina makardinali wawili kama italia kuna majimbo makubwa kama sikosei wakatoliki kindakindaki watasema ukweli pasina shakaDah aisee ukadinali kazi sana mpka uje kuupata shuhuli