Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Nakumbuka hayati raisi John Pombe Magufuli aliwahi kusema kuna watumishi/viongozi waliokua wanaponda starehe kula bata waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani kwenye awamu yake.
Baada ya kifo chake awamu hii ya sita naona kijana wake akiishi kama shetani kujifichaficha/kulalamika/kutengwa/kutia huruma.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka wana jukwaaa!!
Baada ya kifo chake awamu hii ya sita naona kijana wake akiishi kama shetani kujifichaficha/kulalamika/kutengwa/kutia huruma.
Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka wana jukwaaa!!