Aache hivyohivyo tu si usharekebisha.Ungerekebisha hapo kwenye mwaka wa Vita ya kwanza ya Dunia. Umeandika 1941! Badala ya 1914.
Sio muda wa kuamka, sisitiendelee kupiga mbonji, bado kwetu ni saa sita kamili ya usiku😃Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili.
Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa.
Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa vita wakati sisi tuliwapokea he hii ni sahii?
Viongozi wetu wanafany nini? Mbona sioni AU waki laani hiki au mbona huoni western media wakipost kwenye magazeti yao?
Polish exiles during World War II - Poland in Tanzania - Gov.pl website
Kuna documented reasons kwa nini wamewazuia? Maana katika dunia disinformation imekuwa juu sana. Unaweza tengenezewa stori toka kwenye video ukawaka kweli, then unakuja kugundua kuna context iliachwa au kuna yaliyoongezwa.Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili.
Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa.
Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa vita wakati sisi tuliwapokea he hii ni sahii?
Viongozi wetu wanafany nini? Mbona sioni AU waki laani hiki au mbona huoni western media wakipost kwenye magazeti yao?
Polish exiles during World War II - Poland in Tanzania - Gov.pl website
Kuna wazungu ni wastaarabu na wanaheshimu sana waafrika. Na kuna wazungu ni washenzi na mabaguzi kuliko maelezo. Na nimekutana na wote.All in all, ubaguzi na dharau kwa watu weusi kutoka kwa watu weupe kamwe hauwezi kuisha iwapo Watu weusi tutaendelea kuwa wanyonge na omba omba wa kila kitu kutoka kwao.