Je, ni muda wa Watanzania na waafrika kuamka?

Je, ni muda wa Watanzania na waafrika kuamka?

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,585
Reaction score
1,771
Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili.

Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa.

Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa vita wakati sisi tuliwapokea he hii ni sahii?

Viongozi wetu wanafany nini? Mbona sioni AU waki laani hiki au mbona huoni western media wakipost kwenye magazeti yao?

Polish exiles during World War II - Poland in Tanzania - Gov.pl website

Nimeona hiyo issue nikashangaa sana jinsi dunia isivyo na usawa, alafu kuna watu badala ya kupambania vitu kama hivi wao wanapambana na usawa kwa mwanaume, wkt usawa kidunia haupo.

bulshit!.
 
Ungerekebisha hapo kwenye mwaka wa Vita ya kwanza ya Dunia. Umeandika 1941! Badala ya 1914.

All in all, ubaguzi na dharau kwa watu weusi kutoka kwa watu weupe kamwe hauwezi kuisha iwapo Watu weusi tutaendelea kuwa wanyonge na omba omba wa kila kitu kutoka kwao.
 
Angalia hiki kinachofanyika for many African dare...

Tengeru hao wapoland wameondoka wote, wameacha makaburi yao tu pale. Waafrika tunayapalilia na kuyapaka rangi kila wakati.
Ninajiuliza ingekuwa ni makaburi ya waafrika huko ulaya wangeyachukuliaje kama wanawabagua watu hai kwa kiwango hiki!?

Mtu Ukiendekeza udhaifu na unyonge, hata yule 'unayemnyongea' anakudharau na kukuona kama takataka tu.
 
Hawa watu walitamani dunia yote wangekuwa wao tu ila ndio hivo,,,,yan wanachukia watu weusi,wanachukia waarabu,wachina,wahindi hadi accent yako ikiwa tofaut na wao wanachukia,wao wanajali wanyama tu anaweza kukuacha Ufe(blacks) na njaa akampa chakula mbwa, they love Africa but not Africans I wish Africa iwe na power siku moja duniani tuheshimiane kidogo wanatunyanyasa kwasababu wanaona Tunavyo omba omba Hii kitu nataman viongoz waache tu tukomae wenyewe
 
Kama viongozi wetu, inasemekqna, wanatuibia mali kisha wanaenda kuficha kwao unatrajia mini?
 
Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili.

Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa.

Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa vita wakati sisi tuliwapokea he hii ni sahii?

Viongozi wetu wanafany nini? Mbona sioni AU waki laani hiki au mbona huoni western media wakipost kwenye magazeti yao?

Polish exiles during World War II - Poland in Tanzania - Gov.pl website

Sio muda wa kuamka, sisitiendelee kupiga mbonji, bado kwetu ni saa sita kamili ya usiku😃
 
Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili.

Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa.

Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa vita wakati sisi tuliwapokea he hii ni sahii?

Viongozi wetu wanafany nini? Mbona sioni AU waki laani hiki au mbona huoni western media wakipost kwenye magazeti yao?

Polish exiles during World War II - Poland in Tanzania - Gov.pl website

Kuna documented reasons kwa nini wamewazuia? Maana katika dunia disinformation imekuwa juu sana. Unaweza tengenezewa stori toka kwenye video ukawaka kweli, then unakuja kugundua kuna context iliachwa au kuna yaliyoongezwa.

Sisemi hawakubagiliwa ama la, ninachosema ni kuwa mara nyingi watu wanakuwa too emotional na ku support kitu ambacho mara nyingine huwa ni ujinga. Kama tu BLM org.
 
All in all, ubaguzi na dharau kwa watu weusi kutoka kwa watu weupe kamwe hauwezi kuisha iwapo Watu weusi tutaendelea kuwa wanyonge na omba omba wa kila kitu kutoka kwao.
Kuna wazungu ni wastaarabu na wanaheshimu sana waafrika. Na kuna wazungu ni washenzi na mabaguzi kuliko maelezo. Na nimekutana na wote.

Kuna waafrika wastraabu sana na wanaheshimu waafrika na wengine. Kuna waafrika ni washenzi hata hai wazungu washenzi wanasubiri.

Kuwa omba omba inawapa wazungu washenzi sababu ya kutubagaza.

Moja wapo ya hizo sababu ni kuingia nchi za watu kihuni au kufanya mambo ya kihuni nchi za watu. Then wakinyooshwa vilio kibao!
 
Back
Top Bottom