Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe mwenyewe. Unaweza sikia siku akipandwa mapepo ndo maana ulikuwa mpiga chabo janamume Zima hovyooo😂
Au ndo maana Ni likidokoz Toka utotoni baada ya kusimuliana matukio ukizani yatachochea furaha kumbe huzaa madharau
Je, ni muhimu kusimuliana yaliopita au tuanzie tulipokutana na kusonga mbele?
Tubaki kutabir ya mbele kama kaka na dada kuona😂