Je, ni muhimu kusimuliana kila kitu na mwenzio mnapokua katika uhusiano?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe mwenyewe. Unaweza sikia siku akipandwa mapepo ndo maana ulikuwa mpiga chabo janamume Zima hovyooo😂

Au ndo maana Ni likidokoz Toka utotoni baada ya kusimuliana matukio ukizani yatachochea furaha kumbe huzaa madharau

Je, ni muhimu kusimuliana yaliopita au tuanzie tulipokutana na kusonga mbele?

Tubaki kutabir ya mbele kama kaka na dada kuona😂
 
haina umuhimu

saaingine wenzio wanaaply hiyo story ili akuache
 
Hapana sio sawa ila.umbea haukwepeki penzi linapo noga
 
Hapana si muhimu
Tuanzie tulipokutana na kusonga mbele
 
Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe mwenyewe. Unaweza sikia siku akipandwa mapepo ndo maana ulikuwa mpiga chabo janamume Zima hovyooo😂

Au ndo maana Ni likidokoz Toka utotoni baada ya kusimuliana matukio ukizani yatachochea furaha kumbe huzaa madharau

Je, ni muhimu kusimuliana yaliopita au tuanzie tulipokutana na kusonga mbele?

Tubaki kutabir ya mbele kama kaka na dada kuona😂
Ah ninayisababu yakujib suala hili Ni kwamba katika mahusiano tunaweza kudimuliana vitu mbalimbali lakin Shida unakuja pale tunaposimuliana vitu ambavo vinakuja kufanyika Kati yetu na kutuletea madhara hivyo basi tunatakiwa kujua faida na hasara kabla yakudimuliana.Asante by mshauri nasihi
 
Back
Top Bottom