SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

Stories of Change - 2022 Competition

annette manje

New Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii.

Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na jamiii kutokana na manyanyaso haya.

Je, ni nani anapaswa kusimamia?

Serikali imetunga sheria nyingi sana zinazowaongoza watumiaji wa mitandao lakini uwela na elimu kuhusu mitandao limekua ni dogo sana kwa watumiaji wa mitandao hiyo

Hivyo basi ni vyema kwa kila mdau na kila mwanachi kutoa ama kupata elimu inayoweza kuwalinda watumiaji wa mitandao dhidi ya mdahara yatokanayo na unyanyasaji wa mitandao
 
Upvote 0
Back
Top Bottom