Hadi tufike kwenye ukomo hii miradi itakuwa bado haijaanza kuzalisha?Mshaanza siasa zenu ili kuchelewesha miradi ya kimkakati.
Mlileta siasa kigamboni ikafeli kuendelezwa
Mlileta siasa bandari ya Bagamoyo ikafa kibudu huko Kenya wakaiga na sasa wamemzaliza kujenga Bandari ya Lamu
Mkaleta siasa tukaachana na miradi ya Gesi sasa tuna gesi ila kila siku kuna mgawo wa umeme kama mijitu isiyo na akili
Sasa mnaleta siasa serikali isitumie sekta binafsi kujenga reli ili tu reli ikwame
Hilo deni la taifa umeliona linavyokuwa? Unavyosisitiza tukope tukifikia kwenye ukomo wa kukopa utatoa hela wewe?
Jinga kabisa
Basi nchi itakuwa inaendeshwa na wahuni tu.