Je, ni nani huyu mwekezaji wa kutujengea reli kipande Cha Uvinza-Gitega?

Hadi tufike kwenye ukomo hii miradi itakuwa bado haijaanza kuzalisha?
Basi nchi itakuwa inaendeshwa na wahuni tu.
 
Hii sijui imekaaje.
Ndege na treni ndio wangewaachia watu binafsi waendeshe halafu viwanja, barabara na reli vibaki kwa serikali.
 
Toa suluhisho basi nini kifanyike ambacho sija cover kwenye post yangu kule juu.
 
Toa suluhisho basi nini kifanyike ambacho sija cover kwenye post yangu kule juu.
Hujakosea boss na issue ya model, ni sina imani kabisa na hao negotiators wetu ambao kama unakumbuka ndio waliotuletea firms kama IPTL au Richmond, sometimes nafikiri mikataba kama hii ni bora hata kutumia paid consultants/law firms wanaoeleweka ili kupata deal inayoeleweka
 
Na anaweza kupandisha nauli anavyotaka yeye na serikali haitaweza kumfanya kitu, najua kuna mikopo kama hiyo lakini ni kwa watu makini sio hii serikali iliyoshindwa hata kutoa maelezo ya mabehewa au deni la Taifa
Na kuna viongozi watakuwa WAnaweka mizigo Yao kwenye mizigo yake ili wasilipe nauli.

Ila viongozi WA Africa sijui huwa wanawaza mbali kweli

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo tu naiga model kutekeleza ulterior mptives....Model hazina shida, shida model siyo living kwamba zikatae kufulfil ulterior motives!
 
Kitachofanyika hapa. Huyu mwekezaji atachukua mkopo kwa asilimia 110 kwa guarantee ya serikali ya Tanzania.
Kama itakuwa hivyo, kwa nini serikali isijenge yenye halafu kwenye mabehewa ndio wamweke mwezekaji.
 
Inawezekana nchi haikopesheki tena
 
Tatizo hawa wawekezaji wa kwetu na capital ya kuwekeza tunawapa
 
Na anaweza kupandisha nauli anavyotaka yeye na serikali haitaweza kumfanya kitu, najua kuna mikopo kama hiyo lakini ni kwa watu makini sio hii serikali iliyoshindwa hata kutoa maelezo ya mabehewa au deni la Taifa
Watanzania ujamaa umewaharibu sana akili ...mbona petrol wenye sheli hawapandishi bei wanavotaka?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ila kuongoza kazi aisee
Ukikopa kelele kua deni la taifa linakua
Ukitumia makusanyo ya ndani ni kelele kua unawabana matumbo mpaka wanashindwa kuhema
Ukitafuta partnership unaambiwa tutapigwa
Ilimradi tafrani
 
Watanzania ujamaa umewaharibu sana akili ...mbona petrol wenye sheli hawapandishi bei wanavotaka?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hatuongelei shell za mafuta hapa, na hakuna mtu amekataa hizo models, tatizo ni hao ndugu zetu waliotuletea IPTL, Richmond, Symbion etc kwanini unafikiri this time watafanya tofauti, nashauri tutafute professional negotiators tuwalipe watufanyie kazi inayoeleweka tupate tunachotaka, serikali nyingi zinazojitambua zinafanya hivyo
 
Imejengwa na kampuni binafsi zikiwemo kutoka China

Una lingine we kilaza?
 
Imejengwa na kampuni binafsi zikiwemo kutoka China

Una lingine we kilaza?
EeeenHeeee!
Nilijua huna kitu.

Hizo ghati tatu zimejengwa na serikali ya Kenya, huyo mchina ni contractor tu. Unarukia jambo ambalo huna ufahamu nalo.
 
EeeenHeeee!
Nilijua huna kitu.

Hizo ghati tatu zimejengwa na serikali ya Kenya, huyo mchina ni contractor tu. Unarukia jambo ambalo huna ufahamu nalo.
Nani kakwambia zimejengwa na serikali ya Kenya?
 
Dah!
Basi baki na ujinga wsko mwenyewe, lakini usilete habari za uongo hapa ukadhani utaachwa utambe.
Weka ushahidi kuwa zimejengwa na serikali ya Kenya

Mie nakupa ushahidi kuwa Bandari ya Lamu imejengwa na China na kwa mipango yao Kenya itaendeshwa na private sector kwa berth zote
 
Weka ushahidi kuwa zimejengwa na serikali ya Kenya

Mie nakupa ushahidi kuwa Bandari ya Lamu imejengwa na China na kwa mipango yao Kenya itaendeshwa na private sector kwa berth zoteView attachment 2455066
Sasa ndio kitu gani hiki unaleta hapa.
Hata uwezo wa kusoma na kuelewa huna?

Soma uelewe hiyo habari inasemaje.

Hivi unayo akili timamu wewe?

Hadi wakati huu, hakuna Kampuni yoyote binafsi iliyojenga chochote hapo Lamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…