Yes To Yes
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 208
- 157
Bila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************