Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Kwani umetajwa?Kuendesha nchi ni kazi rahisi sana sikuwa najua hapo kabla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umetajwa?Kuendesha nchi ni kazi rahisi sana sikuwa najua hapo kabla
Poll Kali sana hii,hapa Rais lazima atokeBila kujali misimamo yetu kisiasa, kidini, kirangi leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee nitaweke orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana hasa mitaani na hapa Jamii forum.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanaowataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection ya yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani ya tunakoelekea.
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
Kura ni Siri,
Kwani mwanasiasa hawezi kuwa Kiongozi?Anayefaa kuwa rais sio mwanasiasa Ila nikiongozi
Hiyo list hapo hakuna kiongozi Ila kuna mwanasiasa.
Being a leaderHapa TZ n nan aliwahi kuongoza nchi akiwa sio mwanasiasa?
Sasa Mwigulu umpe urais? Kwanza anajua protocol ya Queen Elizabeth na Vatican? Tuache utani Hawa ni wale wale TU!Kwan lazima wawe kwenye hiyo mifumo ya siasa? Hakuna sura mpya? Ndiomaana maendeleo hatuna sababu ya kuongozwa na wale wale, wenye maono yale yale ya kijambazi na kujiona wao tu ndio wanaostahili kuongoza hili taifa
Acha madharau ndg yanguBeing a leader
Being a politician
Africa tuna wanasiasa na sio viongozi
Mfano the late jpm the guy was a leader that is way he never spent his life to entertain , Sh** like corruption , miss use of national fund.
So you can be politician but being a leader is not easy .
Miaka 60 ya Uhuru Ila tulipata kiongozi mmoja tu and you see the impacts.
Pigakura DR HAYA LANDAnayefaa kuwa rais sio mwanasiasa Ila nikiongozi
Hiyo list hapo hakuna kiongozi Ila kuna mwanasiasa.
SawaPina Waziri wake mkuu Bashe
Safi sana Jamii forum,Bila kujali misimamo yetu kisiasa, kidini, kirangi leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee nitaweke orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana hasa mitaani na hapa Jamii forum.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanaowataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection ya yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
Acha maneno maneno pigakuraHamna hata mmoja
Siumesikía sababu ni kutajwa tajwa na sababu za wanaowataja wanazijua wao wenyewe wanao watajaHao mmetumia vigezo gani kuwapata mpaka kuhisi wanafaa kuingia ndani ya jumba jeupe?
Nitafurahi mtu akinisaidia ila kuna groups tatu za watu kwa mujibu wa taarifa yako.
1. Politicians.... Psychological Manipulators
2. Leader.... Wanao hold position na power tu
3. Those who lead.... Hawa wana influence na kuinspire and mostly ndio wanahitajika.
Anyone can be a politician, anyone can be a leader but not everyone can lead.Hao mmetumia vigezo gani kuwapata mpaka kuhisi wanafaa kuingia ndani ya jumba jeupe?
Nitafurahi mtu akinisaidia ila kuna groups tatu za watu kwa mujibu wa taarifa yako.
1. Politicians.... Psychological Manipulators
2. Leader.... Wanao hold position na power tu
3. Those who lead.... Hawa wana influence na kuinspire and mostly ndio wanahitajika.
Mbona ni hatari sana mkuu kama tutakuwa tunawapitisha ama kuwachagua watu kwa sababu tu ya kutajwa tajwa sana.Siumesikía sababu ni kutajwa tajwa na sababu za wanaowataja wanazijua wao wenyewe wanao wataja
System ya china ikoje?Mbona ni hatari sana mkuu kama tutakuwa tunawapitisha ama kuwachagua watu kwa sababu tu ya kutajwa tajwa sana.
Nadhani tungechukua system ya China tu.