Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

Je, ni nani kati ya hawa 10 ana sifa za kuwa mrithi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan?

  • 1. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba

    Votes: 4 2.5%
  • 2. Dkt Emmanuel Nchimbi

    Votes: 4 2.5%
  • 3. Majaliwa Khasimu Majaliwa

    Votes: 11 6.9%
  • 4. Dkt Hussein Ally Mwinyi

    Votes: 15 9.4%
  • 5. Dkt Tulia Ackson Mwansasú

    Votes: 5 3.1%
  • 6. Dkt Dotto Mashaka Biteko

    Votes: 9 5.7%
  • 7. David Zacharia Kafulila

    Votes: 48 30.2%
  • 8. Paul Christian Makonda

    Votes: 28 17.6%
  • 9. January Yusuph Makamba

    Votes: 6 3.8%
  • 10. Tundu Antipus Lissu

    Votes: 29 18.2%

  • Total voters
    159
  • Poll closed .
Poll Kali sana hii,hapa Rais lazima atoke
 
Siku zote wa Mwisho ndio atakayekuwa wa Kwanza.
Ndio neno nililolipata.
Maana yake siijui msiniulize, nimeleta kama nilivyopokea.
 
Hapa TZ n nan aliwahi kuongoza nchi akiwa sio mwanasiasa?
Being a leader
Being a politician

Africa tuna wanasiasa na sio viongozi

Mfano the late jpm the guy was a leader that is way he never spent his life to entertain , Sh** like corruption , miss use of national fund.

So you can be politician but being a leader is not easy .


Miaka 60 ya Uhuru Ila tulipata kiongozi mmoja tu and you see the impacts.
 
Kwan lazima wawe kwenye hiyo mifumo ya siasa? Hakuna sura mpya? Ndiomaana maendeleo hatuna sababu ya kuongozwa na wale wale, wenye maono yale yale ya kijambazi na kujiona wao tu ndio wanaostahili kuongoza hili taifa
Sasa Mwigulu umpe urais? Kwanza anajua protocol ya Queen Elizabeth na Vatican? Tuache utani Hawa ni wale wale TU!
 
Acha madharau ndg yangu
 
Safi sana Jamii forum,
Mambo kama haya yako kwenye level za Mtaa,
Kila sehemu ni POLL
 
Hao mmetumia vigezo gani kuwapata mpaka kuhisi wanafaa kuingia ndani ya jumba jeupe?

Nitafurahi mtu akinisaidia ila kuna groups tatu za watu kwa mujibu wa taarifa yako.

1. Politicians.... Psychological Manipulators
2. Leader.... Wanao hold position na power tu
3. Those who lead.... Hawa wana influence na kuinspire and mostly ndio wanahitajika.
 
Siumesikía sababu ni kutajwa tajwa na sababu za wanaowataja wanazijua wao wenyewe wanao wataja
 
Anyone can be a politician, anyone can be a leader but not everyone can lead.
 
Siumesikía sababu ni kutajwa tajwa na sababu za wanaowataja wanazijua wao wenyewe wanao wataja
Mbona ni hatari sana mkuu kama tutakuwa tunawapitisha ama kuwachagua watu kwa sababu tu ya kutajwa tajwa sana.

Nadhani tungechukua system ya China tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…