Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

Je, ni nani kati ya hawa 10 ana sifa za kuwa mrithi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan?

  • 1. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba

    Votes: 4 2.5%
  • 2. Dkt Emmanuel Nchimbi

    Votes: 4 2.5%
  • 3. Majaliwa Khasimu Majaliwa

    Votes: 11 6.9%
  • 4. Dkt Hussein Ally Mwinyi

    Votes: 15 9.4%
  • 5. Dkt Tulia Ackson Mwansasú

    Votes: 5 3.1%
  • 6. Dkt Dotto Mashaka Biteko

    Votes: 9 5.7%
  • 7. David Zacharia Kafulila

    Votes: 48 30.2%
  • 8. Paul Christian Makonda

    Votes: 28 17.6%
  • 9. January Yusuph Makamba

    Votes: 6 3.8%
  • 10. Tundu Antipus Lissu

    Votes: 29 18.2%

  • Total voters
    159
  • Poll closed .
Tanzania inataka mtu wa kuchúkia rushwa na Ufisadi tu
 
Nzuri sana hii poll
 
Tayari nimemchagua mzalendo
 
Weka na section ya wasioamua au hakuna ,usituchagulis watu wako.
 
Kigwangala mbona hayupo?
 
Mungu ibariki Tanzania
 
Duuuh Kafulila is winning 😁😁😁
 
List ina taswira ya Kitaifa
 
Tanzania ijayo inafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…