Je, ni nani kati ya hawa 10 anasifa za ziada za kuwa Mrithi wa Rais Samia atakapomaliza kipindi chake?

Je, ni nani kati ya hawa 10 ana sifa za kuwa mrithi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan?

  • 1. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba

    Votes: 4 2.5%
  • 2. Dkt Emmanuel Nchimbi

    Votes: 4 2.5%
  • 3. Majaliwa Khasimu Majaliwa

    Votes: 11 6.9%
  • 4. Dkt Hussein Ally Mwinyi

    Votes: 15 9.4%
  • 5. Dkt Tulia Ackson Mwansasú

    Votes: 5 3.1%
  • 6. Dkt Dotto Mashaka Biteko

    Votes: 9 5.7%
  • 7. David Zacharia Kafulila

    Votes: 48 30.2%
  • 8. Paul Christian Makonda

    Votes: 28 17.6%
  • 9. January Yusuph Makamba

    Votes: 6 3.8%
  • 10. Tundu Antipus Lissu

    Votes: 29 18.2%

  • Total voters
    159
  • Poll closed .
Umemsahau Bwana Bashe
 
Naunga mkono hoja hawa wote wanafaa ila tu huyo namba 10
 
Mungu ibariki Tanzania
 
Acha nimpongeze Kafulila
 
Uko sahihi kabisa na nchi inaharibiwa na wanasiasa
 
Kwenye Siasa usijaribu kumdharau mtu huyu Kafulila nimemfuatilia kwa muda nimegundua anakitu Cha ziada ambacho watu wanakihitaji toka kwake.
 
Kafulila anapendwa hii Poll ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…