World light
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 382
- 352
Ngoja tuone muda utasemaNa nyie Tiss uchwara bana, umejiunga juzi tu hapa jf, saa hii unataka wafuate utakacho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone muda utasemaNa nyie Tiss uchwara bana, umejiunga juzi tu hapa jf, saa hii unataka wafuate utakacho!
Umemsahau Bwana BasheBila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
🤣🤣Ila Jf Mimi sihami kabisaPina Waziri wake mkuu Bashe
Naunga mkono hoja hawa wote wanafaa ila tu huyo namba 10Bila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
Yes ni kweliMagufuli hakuwa mwanasiasa ingawa kwa sababu za kikatiba alipita njia za kisiasa kupata urais
Nimeulews nipigiaMpinga rushwa na ufisadi pamoja na matumizi mabaya ya Serikali tutakuwa nae
Mungu ibariki TanzaniaBila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
🤣🤣🤣twende na nabii tito
Acha nimpongeze KafulilaBila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
Aiseee
Daah jamaa uchawi umemmaliza kabisaDr Kigwangalla
Uko sahihi kabisa na nchi inaharibiwa na wanasiasaBeing a leader
Being a politician
Africa tuna wanasiasa na sio viongozi
Mfano the late jpm the guy was a leader that is way he never spent his life to entertain , Sh** like corruption , miss use of national fund.
So you can be politician but being a leader is not easy .
Miaka 60 ya Uhuru Ila tulipata kiongozi mmoja tu and you see the impacts.
Namba 10 anatatizo gani?Naunga mkono hoja hawa wote wanafaa ila tu huyo namba 10
Yes 2030 ndio mtu pekee anatafutwaMpinga rushwa na ufisadi pamoja na matumizi mabaya ya Serikali tutakuwa nae
Kafulila anapendwa hii Poll ni kweli kabisaBila kujali misimamo yetu ya kisiasa, kidini, kirangi wala ya kikabila tuliyonayo na tunayoiishi
Kwa pamoja leo tuvisaidie vyama vya siasa na vyombo mbalimbali vya maamuzi kupendekeza ni nani hasa Taifa hili linamuhitaji baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza vipindi vyake.
Leo kwa upekee ninaweka orodha ya wanasiasa/Viongozi 10 ambao wanatajwa tajwa sana huku mitaani na hapa Jamii forum kwa nyakati tofauti tofauti.
Sababu za kutajwa kwao wanazijua wanao wataja ila leo nataka tupige kura kwa Uaminifu kabisa huku tukifahamu kura hizi ni reflection za yatakayotokea hapo baadae.
Jukwaa letu hili ni jukwaa lililosheheni watu weledi na wenye maarifa mapana sana hivyo kura zao ni ràmani na njia sahihi ya tunakoelekea.
**************************************
Jinsi ya Kupiga kura yako,
1. Weka tiki kwenye jina unalolifurahia √
2. Shuka chini kisha ponyeza sehemu imeandikwa "Cast vote"
****************************************
Anapendwa 30% ni ushindi mkubwa sana kwa Jf.Kwenye Siasa usijaribu kumdharau mtu huyu Kafulila nimemfuatilia kwa muda nimegundua anakitu Cha ziada ambacho watu wanakihitaji toka kwake.