Je, ni nani malkia wa Hip Hop ya Bongo

Je, ni nani malkia wa Hip Hop ya Bongo

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.

Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu

ZAY B
SISTER P
DADA JOO
RAH P
WITNESS KIBONGE MWEPESI
CHIKU KETO
ROSA LEE
CHEMICAL
FRIDA

Kama kuna wengine unawajua unaweza wataja then tujue nani ni malikia wa hip hop ya bongo
 
Sister P...

Hey Dj
Anakuja
Achana nao

Huyu kwangu ni hatari zaidi
 
Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.

Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu

ZAY B
SISTER P
DADA JOO
RAH P
WITNESS KIBONGE MWEPESI
CHIKU KETO
ROSA LEE
CHEMICAL
FRIDA

Kama kuna wengine unawajua unaweza wataja then tujue nani ni malikia wa hip hop ya bongo
Hivi Bongo kuna wasanii wa Hip Hop kweli au waigizaji tu, tuseme ukweli.
 
The Goddess, Rosa Ree from A-Town ni noma na nusu. Milazo na micharazo abahatishi lakini kitu kingine ni very clever, ukimsikiliza vizuri utagundua yuko na high IQ kuliko wasanii wengine wengi wa hii Afrika Mashariki.
 
Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.

Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu

ZAY B
SISTER P
DADA JOO
RAH P
WITNESS KIBONGE MWEPESI
CHIKU KETO
ROSA LEE
CHEMICAL
FRIDA

Kama kuna wengine unawajua unaweza wataja then tujue nani ni malikia wa hip hop ya bongo
Umesahau Dataz ndugu yake squizer alitamba na Mume wa mtu, Why, Hawa watu
 
Stosh the first lady
Frida amani madam P
Sister P
Young lunya
 
Tiffa simuoni hapo kuna shori alikuwa anajiita Tiffa Flowz, yule manzi ni kwikwi! Sijui nini kimemkimbiza kwenye hip hop. Sijui kaolewa dah!?
 
Back
Top Bottom