Hivi Bongo kuna wasanii wa Hip Hop kweli au waigizaji tu, tuseme ukweli.Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.
Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu
ZAY B
SISTER P
DADA JOO
RAH P
WITNESS KIBONGE MWEPESI
CHIKU KETO
ROSA LEE
CHEMICAL
FRIDA
Kama kuna wengine unawajua unaweza wataja then tujue nani ni malikia wa hip hop ya bongo
Umesahau Dataz ndugu yake squizer alitamba na Mume wa mtu, Why, Hawa watuKwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.