π€£Inategemea na mubakwa ataichukuliaje kwa uzitoMkuu, ukishasema ameiba, hakuna tena swali hapo.
Ni sawa na kusema mmoja amembaka mwanafunzi, mwingine kambaka mfanyakazi wake, na wa tatu kambaka mkewe!
Kubaka ni kubaka tu! Kadhalika, wizi ni wizi tu. Ndiyo maana kulinda kura ni haki na wajibu wa kila raia mzalendo!
Wote Wezi tu hakuna aliemzidi mwenzie mwizi ni mwizi tuJe ni nani mtenda dhambi ?
Kama ni hivyo,basi sio dhambi kuchukua Mke wa mtu ambae mume wake hana nguvu za kiume.Aliye iba sadaka kanisani na kwenda kuwapa yatima na maskini yupo sahihi , kafanya kile kanisani walipaswa kufanya ila kanisa wakaiba.
Hakuna matata kabisa tena ingebidi huyo mume wake ashukuru mimi kumsitiri aibu yake .Kama ni hivyo,basi sio dhambi kuchukua Mke wa mtu ambae mume wake hana nguvu za kiume.
π
Acha DhambiHakuna matata kabisa tena ingebidi huyo mume wake ashukuru mimi kumsitiri aibu yake .
Mimi niliiba hela ofisini kwa ajili ya kwenda kumtibu mtoto wangu sasa sijui na mimi ninadhambi?-kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani
-Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka
-Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima
Je ni nani mtenda dhambi ?