Je ni ndani ya masaa 48 mtu kati?

Ni swali tu maana wavaa ngwada wakitamkaga nchi yeyote ile uwa wanatamka huku mkubwa akiwa chini ya ulinzi Tayari,

Na ikitokea wakatamka kabla basi haichukui muda!

Nasisitiza HOTUBA YA KUANDIKA NA KUANDIKIWA INAJULIKANA


Britanicca
Samia kazi anayo mwaka huu
 
Bora JWTZ walikomboe taifa ,haiwezekani Muuza matairi kariakoo awe Acting DG-EYES ,"Dully" anafikia hatua ya kumuhonga DG_EYES_S? watoto wake wanashika USD laki 3 sawa na zaidi ya milioni 700 halafu wanaflip birds(Wanatuonyooshe dole la kati)wananchi wavuja jasho? Hizi ni "ZEREU" mtoto mdogo wa miaka 26 ana zaidi ya bilioni 25 Bank tena hiyo ni CRDB bado haujagusa account yake ya Absa! Halafu kwenye kampeni wanatuahidi kwamba maiti wataoa bure na watachimba makaburi kwa mashine means target yao ni kuteka na kuua watu.
 
Maana yake ana baraka za wakubwa zake au napo pamegawanyika ?
 
N
Nani huyo ana b 25 nimfuate sahiv mikajitoe mhanga
 
Mi najiuliza kwamba kama tusipotetewa na jeshi nani atatutea rejea Congo wamekuja tetewa na m23 na wananchi wamewapa kibali
 
Kaskazin hatokagi fala, ila nashangaa tu yule jamaa etu wa siha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…