Je ni nini hasa kimemkumba Rais Samia na umashuhuri wake kuporomoka hivi? Toka 2021-2022

Waziri mkuu hagombei tena na makamu wa Rais hagombei tena. Spika kaogopa mpaka kugawanya jimbo.

Rais kaogopa mpaka kumfunga Lissu na kuwaletea zengwe Chadema ! Nini kimemsibu
Ngoja mwashambwa aje
 
Ndoto yake haikuwahi kuwa rais , sababu anajijua uwezo wake ni mdogo na hilo alilisema juu ya matokeo yake kidato cha nne.

Alipenda,kazi isiyohitaji matumizi makubwa ya akili ambayo aliisema ilikuwa ni uhudumu kwenye ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…