Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Habari wanajamiii forum, !
Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana
kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi,
Ila utawakuta wenye uwafadhali kidogo . Wafuatao ni viongozi vijana wenye uwafadhali kidogo
1.David KAFULILA
2.Tundu lisu
3.John Mnyika
4. Rizwani kikwete
5.Godbless Lema
6.Tulia Mwansansu
7.Bonifasi Mwabukusi
8.Heche
9.Jokate
10.Ester bulaya.
11.wenje
12. Paul makonda
NB: Inchi yetu ya Tanzania viongozi wazuri wapo ,ila wakiingia tu kwenye mifumo ya kutumikia jamii, wanakuwacorrupted na mifumo WALIO ikuta pale ,usishangae mtu alikuwa vzr tu ghfla amebadilika, au amerudi nyuma. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.