Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

Wakati wake bado
 
Mwenzio anataka uteuzi ndo maana alipobaniwa na TISS alikasirika Sana.
Huenda ni hivyo ulivyodhania lkn pia huenda alikuwa na nyeti kwa mama. Pole yao TISS kwa kumkosesha mama dondoo muhimu kutoka kwa Pascal. Nikukumbushe tu kwamba Pascal huyu ni mwana wa nyoka. Si unaukumbuka ule usemi wa Kiswahili?
 
Au Karma inamtafuna ya kuwachoma watu
 
Not chawa enough πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…