Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Dr. Slaa aliukwaa ubalozi enzi za Mafufuli huku akiwa na umri wa miaka 70+!!!Anakuwa kazini huku anatambulishwa kama "muheshimiwa DC mstaafu"!
Wakati wake badoWakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.
Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.
Sahihi kabisaaaaKuna sababu 2 tu:-
1. Pascal Mayalla ana damu ya chadema.
2. Pascal Mayalla ana akili, na ccm haitaki wenye akili.
Nini dokta Slaa?Jana tu hapo "Tyson Steven Masato Wassira" karudishwa aitumikie "inji" kupitia chama akiwa na themanini/80 years old!Mbona Dr. Slaa aliukwaa ubalozi enzi za Mafufuli huku akiwa na umri wa miaka 70+!!!
Huenda ni hivyo ulivyodhania lkn pia huenda alikuwa na nyeti kwa mama. Pole yao TISS kwa kumkosesha mama dondoo muhimu kutoka kwa Pascal. Nikukumbushe tu kwamba Pascal huyu ni mwana wa nyoka. Si unaukumbuka ule usemi wa Kiswahili?Mwenzio anataka uteuzi ndo maana alipobaniwa na TISS alikasirika Sana.
Hiyo ya kwanza mbona huwa anajitahidi kukaa nayo mbali kama nyumba inaungua?Kuna sababu 2 tu:-
1. Pascal Mayalla ana damu ya chadema.
2. Pascal Mayalla ana akili, na ccm haitaki wenye akili.
Au Karma inamtafuna ya kuwachoma watuHuenda ni hivyo ulivyodhania lkn pia huenda alikuwa na nyeti kwa mama. Pole yao TISS kwa kumkosesha mama dondoo muhimu kutoka kwa Pascal. Nikukumbushe tu kwamba Pascal huyu ni mwana wa nyoka. Si unaukumbuka ule usemi wa Kiswahili?
Not chawa enough 😂😂Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.
Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.
Alitibuliwa na wala rushwa ndani ya chadema, kwa hasira akaondoka chadema akahamia ccm.Hiyo ya kwanza mbona huwa anajitahidi kukaa nayo mbali kama nyumba inaungua?
Siyo kivile.Comrade Kakurwa?Alitibuliwa na wala rushwa ndani ya chadema, kwa hasira akaondoka chadema akahamia ccm.
Thermometer inaonesha midundo ya moyo wake bado inatoa sauti na mwangwi wa chadema.
Vee eite ana ndoa?Hana ndoa
Kakurwa ni CUF.Siyo kivile.Comrade Kakurwa?
Anayeishi CCM.Kakurwa ni CUF.