Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

Icho kijamaa kinachoitwa Pascal kina chuki sana dhidi ya Zanzibar na raisi aliyeko sasa Madarakani ni Mzanzibari kwaio astahamili mpaka muhula wa mama utakapoisha asikate tamaa. Hongera zake aliyembania icho ki paskal kuonana na Mhe Rais
 
Alishalotolea ufafanuzi hili tena nashani ni last year hapa JF
 
Icho kijamaa kinachoitwa Pascal kina chuki sana dhidi ya Zanzibar na raisi aliyeko sasa Madarakani ni Mzanzibari kwaio astahamili mpaka muhula wa mama utakapoisha asikate tamaa. Hongera zake aliyembania icho ki paskal kuonana na Mhe Rais
Napingana na Pascal kwenye mengi lakini kamwe siwezi kumuita hicho kijamaa.. Kuheshimiana ni jambo bora licha ya tofauti za kimitazamo
 
Siku akivaa shati yenye picha ya mama SH atapata teuzi
 
Aamue mojawapo kati ya kung'ata ama kupuliza
 
Icho kijamaa kinachoitwa Pascal kina chuki sana dhidi ya Zanzibar na raisi aliyeko sasa Madarakani ni Mzanzibari kwaio astahamili mpaka muhula wa mama utakapoisha asikate tamaa. Hongera zake aliyembania icho ki paskal kuonana na Mhe Rais
dharau hazikupeleki popote ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…