Je ni sababu zipi zinazopelekea Pascal Mayalla hapati teuzi yoyote mpaka sasa?

Pascal mayalla ana Kila kitu ambacho kiongozi angekuwa nacho ila wamemnyea ,amefunikwa na gunia ,hawezi kutoboa kwa kuwa kibali na nyota yake imefubazwa Sana ! Ana ushauri mzuri lakini hakuna atakae jali ni asset lakini hakuna anaeiona kama inafaa kwa matumizi ! Hili ni jambo la kiroho zaidi ni ama afanye mambo mawili atafute huduma nzuri za kiroho ama mtu mashuhuri upande wa tiba mbadala atamsaidia kuinua nyota iliyofubazwa Mimi ni mpita njia tu ana chaguo kukubali au kukataa !ila asipuuze sisi wengine hatuna muda wa kumuongopea mtu
 
Paskali wa JF na wa mtaani ni vitu tofauti.
JF imechangia kumharibia maana tuliosoma literarure,kypitia maandiko yake tunajua kuwa ni mwanachama mfu wa CCM yaani haendani na itikadi za ovyo na za kijinga ndani ya chama,huwa anakosoa cerikali ba chama kwa kutumia fasihi,ni ngumu vilaza kymuelewa ila mamlaka za uteuzi zimemjuaitikadi yake iliyojificha kupitia JF
Bila JF Paskali angeshalamba cheo kikubwa sana nchini
 
Hakika pia ugomvi wake na TISS
 
Juzi juzi tu hapa katoka kupata uwakili wa serikali

Amshukuru sana jaji Ibrahim mussa

Pascal Mayalla
Teuzi haziji hivi, mkuu Pascal na elim yake hili nalo halijui , ameshindwa kujiongeza, Rais anateua baada ya kupendekezewa majina flan, sasa alikua anaenda kwa Rais fanya nini, ? angeongea naye nini, kwamba mh Rais naomba niteue au, mambo hayaendi hivyo
 
Mleta mada umejawa na chuki na unafiki, Nchi hii ina watazania wangapi wenye sifa? Kwanini umtaje huyo? Wewe hutaki uteuzi? Unajifanya kumuonea huruma kumbe mnafiki tu
 
Kwa sababu alishaandika humu jukwaani kuwa yeye hataki uteuzi wa aina yoyote ile. Naona yeye anataka ubunge tu.maana huo ndio aligombea mwaka 2020 akapata kura moja tu kutoka kwa wajumbe. Lakini pia aligombea na kuomba kutaka ateuliwe kwenda kuomba kura za ubunge wa bunge la Afrika mashariki lakini jina lake likakwama juu kwa juu.
Vipi kuhusu ww chawa lia lia njaa kali ...ni lini chama kitakuzingatia?
 
Kwa sababu alishaandika humu jukwaani kuwa yeye hataki uteuzi wa aina yoyote ile. Naona yeye anataka ubunge tu.maana huo ndio aligombea mwaka 2020 akapata kura moja tu kutoka kwa wajumbe. Lakini pia aligombea na kuomba kutaka ateuliwe kwenda kuomba kura za ubunge wa bunge la Afrika mashariki lakini jina lake likakwama juu kwa juu.
Mbona na wewe hupati teuzi muda wote huo unapiga debe hadi leo hakuna kitu?
 
Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?

Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.

Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.
Mayala kwa kisukuma maana yake ni NJAA." JPM
 
Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?

Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.

Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.
Muombee uzima tu. Huenda kuna siku moja atakuja kukumbukwa na yeye apewe nafasi ya kuchovya dole lake kwenye buyu la asali. Mbona Wassira ameendelea kula bingo pamoja na uzee wake wa miaka 80?
 
Back
Top Bottom