Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ni moja siyo mbili.Alipata kura 2 za wajumbe 2020 hongera kwake 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni moja siyo mbili.Alipata kura 2 za wajumbe 2020 hongera kwake 😅😅
Naam!Anayeishi CCM.
Hakika pia ugomvi wake na TISSPaskali wa JF na wa mtaani ni vitu tofauti.
JF imechangia kumharibia maana tuliosoma literarure,kypitia maandiko yake tunajua kuwa ni mwanachama mfu wa CCM yaani haendani na itikadi za ovyo na za kijinga ndani ya chama,huwa anakosoa cerikali ba chama kwa kutumia fasihi,ni ngumu vilaza kymuelewa ila mamlaka za uteuzi zimemjuaitikadi yake iliyojificha kupitia JF
Bila JF Paskali angeshalamba cheo kikubwa sana nchini
Teuzi haziji hivi, mkuu Pascal na elim yake hili nalo halijui , ameshindwa kujiongeza, Rais anateua baada ya kupendekezewa majina flan, sasa alikua anaenda kwa Rais fanya nini, ? angeongea naye nini, kwamba mh Rais naomba niteue au, mambo hayaendi hivyoJuzi juzi tu hapa katoka kupata uwakili wa serikali
Amshukuru sana jaji Ibrahim mussa
Pascal Mayalla
Kwahiyo ni mshamba tuTeuzi haziji hivi, mkuu Pascal na elim yake hili nalo halijui , ameshindwa kujiongeza, Rais anateua baada ya kupendekezewa majina flan, sasa alikua anaenda kwa Rais fanya nini, ? angeongea naye nini, kwamba mh Rais naomba niteue au, mambo hayaendi hivyo
Kapata Uwakili wa Serikali au kawa Wakili?Juzi juzi tu hapa katoka kupata uwakili wa serikali
Amshukuru sana jaji Ibrahim mussa
Pascal Mayalla
Kapata uwakili wa serikaliKapata Uwakili wa Serikali au kawa Wakili?
Ok. Kwahiyo Sasa ni mwajiriwa wa Serikali Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali au?Kapata uwakili wa serikali
Ndiyo mkuu ni mtumish wa serikali akitumika kama wakili wa serikaliOk. Kwahiyo Sasa ni mwajiriwa wa Serikali Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali au?
Vipi kuhusu ww chawa lia lia njaa kali ...ni lini chama kitakuzingatia?Kwa sababu alishaandika humu jukwaani kuwa yeye hataki uteuzi wa aina yoyote ile. Naona yeye anataka ubunge tu.maana huo ndio aligombea mwaka 2020 akapata kura moja tu kutoka kwa wajumbe. Lakini pia aligombea na kuomba kutaka ateuliwe kwenda kuomba kura za ubunge wa bunge la Afrika mashariki lakini jina lake likakwama juu kwa juu.
OK. Hongera sana kwake!Ndiyo mkuu ni mtumish wa serikali akitumika kama wakili wa serikali
Mbona na wewe hupati teuzi muda wote huo unapiga debe hadi leo hakuna kitu?Kwa sababu alishaandika humu jukwaani kuwa yeye hataki uteuzi wa aina yoyote ile. Naona yeye anataka ubunge tu.maana huo ndio aligombea mwaka 2020 akapata kura moja tu kutoka kwa wajumbe. Lakini pia aligombea na kuomba kutaka ateuliwe kwenda kuomba kura za ubunge wa bunge la Afrika mashariki lakini jina lake likakwama juu kwa juu.
AMINAOK. Hongera sana kwake!
Mayala kwa kisukuma maana yake ni NJAA." JPMWakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.
Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.
Muombee uzima tu. Huenda kuna siku moja atakuja kukumbukwa na yeye apewe nafasi ya kuchovya dole lake kwenye buyu la asali. Mbona Wassira ameendelea kula bingo pamoja na uzee wake wa miaka 80?Wakuu , je ni sababu zipi zinapelekea Pascal Mayalla kukosa uteuzi wowote mpaka sasa ?
Mara ya mwisho nilikuwa na Pascal Mayalla Mbeya akawa ananambia kuwa watu Fulani walimbania asionane na Rais.
Ikiwa ni kweli , basi hii inafikirisha na muda sio mrefu anenda kuingia ghorofa ya 60 bila kupata uteuzi wowote , inafikirisha na kuumiza.