FBY 2013
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 401
- 90
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake.
Asilimia Kubwa ya Akina dada Wamekua wakiidhofisha Hadhi ya Chuo Kikuu kutokana na ,Mavazi ambayo wamekua Wakiyavaa,Naamu si Mengine Bali ni Hizi Suruali na Kaptura za Kubana hadi Kuonyesha Sehemu zao Za ndani.
Ukijaribu kuwaulizia Mtazamo wao watakwambia tunakwenda na Fashion,Usitufanye tuvae kizee.
Sina Shari na Suruali bali Shari yangu ni Hizi Suruali za Kubana,Hali inayopelekea kuwauliza Nyinyi Wanajamvi wenzangu Je,Ni sahihi uvaaji huu,Na je,Ni kweli kua Wavulana Huwapenda Wasichana Waliovaa Suruali za Kubana?
Kibaya zaidi Siku za Ibada,J'MOSI na J'PILI Akina dada Hawa huvaa Skirt zao nzuri au Suruali nzuri zisizoulizisha Maswali yoyote,Lakini ikifika J'3 asubuhi wote Hurejea kuzivaa Suruali zao za Kubana.