Je,Ni Sahihi akina Dada Kuvaa Suruali za Kubana Vyuoni?

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake.

Asilimia Kubwa ya Akina dada Wamekua wakiidhofisha Hadhi ya Chuo Kikuu kutokana na ,Mavazi ambayo wamekua Wakiyavaa,Naamu si Mengine Bali ni Hizi Suruali na Kaptura za Kubana hadi Kuonyesha Sehemu zao Za ndani.

Ukijaribu kuwaulizia Mtazamo wao watakwambia tunakwenda na Fashion,Usitufanye tuvae kizee.

Sina Shari na Suruali bali Shari yangu ni Hizi Suruali za Kubana,Hali inayopelekea kuwauliza Nyinyi Wanajamvi wenzangu Je,Ni sahihi uvaaji huu,Na je,Ni kweli kua Wavulana Huwapenda Wasichana Waliovaa Suruali za Kubana?

Kibaya zaidi Siku za Ibada,J'MOSI na J'PILI Akina dada Hawa huvaa Skirt zao nzuri au Suruali nzuri zisizoulizisha Maswali yoyote,Lakini ikifika J'3 asubuhi wote Hurejea kuzivaa Suruali zao za Kubana.
 
Hiyo ni catalyst kwa watoto wakiume kupiga kitabu. Waachwe tu..!! Mimi ikipita siku sijawaona wanaovaa zakubana naboreka sana.

Oops. Labda kwa sababu nimetoka boys schools both secondary levels
 
Unawaona kwasababu 'umeshiba' subiri ukiwa na njaa kama hiyo mistari ya vyupi utaiona!
 
Aisee hii kuvalishana uniform chuo fanyeni nyie..mimi as a man sikuona shida...nlikuja kusoma sio kuangalia wadada wamevaaje! Labda saaana ningekereka kama angekuja uchi..
 
Ni sahihi wavuta bangi ,sigara na walevi mbwa kuwepo chuoni?
 
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake.

Asilimia Kubwa ya Akina dada Wamekua wakiidhofisha Hadhi ya Chuo Kikuu kutokana na ,Mavazi ambayo wamekua Wakiyavaa,Naamu si Mengine Bali ni Hizi Suruali na Kaptura za Kubana hadi Kuonyesha Sehemu zao Za ndani.

Ukijaribu kuwaulizia Mtazamo wao watakwambia tunakwenda na Fashion,Usitufanye tuvae kizee.

Sina Shari na Suruali bali Shari yangu ni Hizi Suruali za Kubana,Hali inayopelekea kuwauliza Nyinyi Wanajamvi wenzangu Je,Ni sahihi uvaaji huu,Na je,Ni kweli kua Wavulana Huwapenda Wasichana Waliovaa Suruali za Kubana?

Kibaya zaidi Siku za Ibada,J'MOSI na J'PILI Akina dada Hawa huvaa Skirt zao nzuri au Suruali nzuri zisizoulizisha Maswali yoyote,Lakini ikifika J'3 asubuhi wote Hurejea kuzivaa Suruali zao za Kubana.

chuo sio msikitini acha wavae wanavyotaka ikiwezekana watembee uchi kabisa, izo ni moja ya vitu vinavyofanya marijali tusome kwa bidii tusidisco ili tuendelee kuwaona kila siku.
 
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake.

Asilimia Kubwa ya Akina dada Wamekua wakiidhofisha Hadhi ya Chuo Kikuu kutokana na ,Mavazi ambayo wamekua Wakiyavaa,Naamu si Mengine Bali ni Hizi Suruali na Kaptura za Kubana hadi Kuonyesha Sehemu zao Za ndani.

Ukijaribu kuwaulizia Mtazamo wao watakwambia tunakwenda na Fashion,Usitufanye tuvae kizee.

Sina Shari na Suruali bali Shari yangu ni Hizi Suruali za Kubana,Hali inayopelekea kuwauliza Nyinyi Wanajamvi wenzangu Je,Ni sahihi uvaaji huu,Na je,Ni kweli kua Wavulana Huwapenda Wasichana Waliovaa Suruali za Kubana?

Kibaya zaidi Siku za Ibada,J'MOSI na J'PILI Akina dada Hawa huvaa Skirt zao nzuri au Suruali nzuri zisizoulizisha Maswali yoyote,Lakini ikifika J'3 asubuhi wote Hurejea kuzivaa Suruali zao za Kubana.

Hii ndo tunaita u r not socially developed......hivi tatizo ni nini hapo...nguo wavae wao wewe upate tabu....khaaaa.....piga nyeto basi upunguze mahamu hayo
 
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake.

Asilimia Kubwa ya Akina dada Wamekua wakiidhofisha Hadhi ya Chuo Kikuu kutokana na ,Mavazi ambayo wamekua Wakiyavaa,Naamu si Mengine Bali ni Hizi Suruali na Kaptura za Kubana hadi Kuonyesha Sehemu zao Za ndani.

Ukijaribu kuwaulizia Mtazamo wao watakwambia tunakwenda na Fashion,Usitufanye tuvae kizee.

Sina Shari na Suruali bali Shari yangu ni Hizi Suruali za Kubana,Hali inayopelekea kuwauliza Nyinyi Wanajamvi wenzangu Je,Ni sahihi uvaaji huu,Na je,Ni kweli kua Wavulana Huwapenda Wasichana Waliovaa Suruali za Kubana?

Kibaya zaidi Siku za Ibada,J'MOSI na J'PILI Akina dada Hawa huvaa Skirt zao nzuri au Suruali nzuri zisizoulizisha Maswali yoyote,Lakini ikifika J'3 asubuhi wote Hurejea kuzivaa Suruali zao za Kubana.

ya kaisari mpe kaisari
 
Fredom of opportunity... We piga msuli acha kushangaa Vyupi shauri yako wengine wa mama Salma..
 
Siku hizi hakuna Mzee Punch ambaye alikuwa ana-moderate The Hill.
The Citadel is no more, from a three course meal to posho!!!
Waache watoto wa dot-com wajidai, ndo wakati wao
 
Back
Top Bottom