DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Uko sahihi,ukisaidia kazi lazima upewe yoteeeeeeeeTunapika ndio, ila sio kwa ratiba, hatufui kwa ratiba, tunafanya kwa mapenzi na tukijisikia ili kunogesha penzi, siku tukizifanya hizo kazi tunapewa mbususu kupitiliza[emoji3][emoji3] tunapika siku za nyama roast au kuchoma nyama...hatupiki maharage wala mboga za majani.[emoji1787]
Wanawake wanahitaji akili kidogo tu ili kwenda nao sawa, naweza chukua nguo chafu kwenye 🗑 asubuhi sana, akiamka anakuta kamba imejaa nguo, she feels so good akiona hivyo, au nikambwambia tu mama lete nguo tufue....Uko sahihi,ukisaidia kazi lazima upewe yoteeeeeeee