Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Yaani hiyo asubuhi utayofua nitakupikia chapati za kurasa ,maini roast ,na sharubati ya tende.. ..msiwe mnajisahau Sana ndio maana Hadi tunaanza kuwapangia.Wanawake wanahitaji akili kidogo tu ili kwenda nao sawa, naweza chukua nguo chafu kwenye đź—‘ asubuhi sana, akiamka anakuta kamba imejaa nguo, she feels so good akiona hivyo, au nikambwambia tu mama lete nguo tufue....
Wanaume wasichopenda ni kupangiwa, hapo kweli hatupendi.