Wanawake wanahitaji akili kidogo tu ili kwenda nao sawa, naweza chukua nguo chafu kwenye π asubuhi sana, akiamka anakuta kamba imejaa nguo, she feels so good akiona hivyo, au nikambwambia tu mama lete nguo tufue....
Wanaume wasichopenda ni kupangiwa, hapo kweli hatupendi.