Je ni sahihi Bank kukata Pesa ya Mteja kwenye Account yake bila ridhaa ya mwenye Account?!

Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?

Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
Hayo ma tozo ni halali kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge....usizilaumu bank,laumu serikali

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?

Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
Ukisoma kwenye mkataba wako na bank zina operate chini ya sheria na kanuni za serikali hivyo tozo ni sheria unazionea bure maana lazima zitekeleze sheria ili kuendelea kuoperate. Wakulaumu ni serikali yako inayokukamua
 
Accepted
 
Inabidi bank isainishe wateje wake masharti na vigezo upya na mteja asini kama amekubali...
 
Back
Top Bottom