Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hayo ma tozo ni halali kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge....usizilaumu bank,laumu serikaliYaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?
Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
Asante Kwa ufafanuziHayo ma tozo ni halali kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge....usizilaumu bank,laumu serikali
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtoto analala na nini?Account inasoma 00 hiyo tozo wakate kwenye hizo namba za account
NyonyoMtoto analala na nini?
Kimba maana hapawezi kucha bila mtoto kuharibu.Nyonyo
Ukisoma kwenye mkataba wako na bank zina operate chini ya sheria na kanuni za serikali hivyo tozo ni sheria unazionea bure maana lazima zitekeleze sheria ili kuendelea kuoperate. Wakulaumu ni serikali yako inayokukamuaYaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?
Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
AcceptedUkisoma kwenye mkataba wako na bank zina operate chini ya sheria na kanuni za serikali hivyo tozo ni sheria unazionea bure maana lazima zitekeleze sheria ili kuendelea kuoperate. Wakulaumu ni serikali yako inayokukamua